simba wa dodoma
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 925
- 1,010
Before my 1st born hajazaliwa sikuwa na kazi ila alivyozaliwa nikaitwa kwenye interview na nikaajiriwa hadi leo hiiNimepata baadhi ushuhuda baadhi ya washkaji wakisema iliwaai kuwakuta mpaka wakafilisika ila baada ya mke wake kujifungua mambo yakaanza kwenda fresh akaja mambo yakafungua mara mbili zaidi yaa mwanzo....
Je hii kitu ni kweli ushawai kukutana tupe ilikuwaje
Kiongozi hii kitu kipo sio imani mimi nina mshakiji wangu mtoto wake wa pili kipindi cha ujazito aliuzaga hadi gari yake alikuwa mfanya biashara ila baada ya kujifungua tu mambo yaakanza kufunguka akawa anafata mizigo china mwenyewe haijakukuta ila ipo inahitaji uvumilivu sanaUkishaanza kuamini upuuzi huo, basi umekwisha.
Jirani yàngu ameumwa wakasema ni "upepo" umempitia hatakiwi kuonwa na mtu yeyote maana Kuna watu wamelala na wake zao, wako Kwenye siku zao hivyo wakimuona atakufa. Wakamficha effectively! Mgonjwa akakosa tiba amekufa...
Kuna watu watabisha inahitaji uvumikivu sana miezi tisa shetani anaingilia katiHili lilinikuta 2019 siwezi kusahau kamwe katika maisha yangu
Riziki yako hahiishi mpaka umalize umri ulopangiwa na mola wako. Inachotokea hapa kati kati ni Mola wako kuipunguza (siyo kuikata hadi ufe njaa). kisha baadaye anarudisha. Na hii haijalishi una familia au msela. Wenye familia kubwa wapo wenye maghorofa na masela kibao wanalalia andazi majiNimepata baadhi ushuhuda baadhi ya washkaji wakisema iliwaai kuwakuta mpaka wakafilisika ila baada ya mke wake kujifungua mambo yakaanza kwenda fresh mambo yakafunguka mara mbili zaidi yaa mwanzo....
Je hii kitu ni kweli ushawai kukutana nacho tuambie ilikuawaje ilikuwaje
Kweli kabisa broh this fact nimekuelewa sana maana hata kama riziki yako imepunguza mungu awezi ukose chakula hahahahahaha kweli kabisaRiziki yako hahiishi mpaka umalize umri ulopangiwa na mola wako. Inachotokea hapa kati kati ni Mola wako kuipunguza (siyo kuikata hadi ufe njaa). kisha baadaye anarudisha. Na hii haijalishi una familia au msela. Wenye familia kubwa wapo wenye maghorofa na masela kibao wanalalia andazi maji