Hivi ni kwanini watu huzungusha mabati site wakati wa ujenzi?

Hapo vip!

Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?

Tajiri Tanzanite,..................nianze kwa salamu kwako.................Na hakika swali zuri sanahili.

Swala la kuzungushia mabati au uzio katika site ya ujenzi iwe wa jengo au structure nyingine yeyote ni la kitaalam zaidi na huwa kitaalamu huitwa (site hoarding) pia sababu kubwa ni usalama...........................

Zaidi ya hiyo sababu ya kiusalama pia ni kwa ajili ya kuficha au kuziba kile kinachojengwa kisionekane hadi ujenzi utakapo kamilika............................nikiongelea suala la ujenzi wa majengo au sanamu huwa zinafunikwa hadi siku ya uzinduzi kamili utakapo fanyika na huwa ni sherehe kubwa sana na pindi uzinduzi unapofanyika huwa ni rasmi(formal) kwa kuwasha taa ,baruti au hata fataki na champagne.........................................nitatoa mfano wa uzinduzi wa gari jipya unapofanyika huwa linafunikwa hadi mgenirasmi anapofikia hatua ya kulizindua,na huwa sherehe inafana sana........................................Sambamba pia kuna (building materials) nyingi zinazotumika ktk kujenga uzio au hizo hoardig kuanzia mabati,vitambaa,mbao nk

Kisheria pia ni lazima ujenzi wowote uwe protected na pia kuna standards mbalimbali kuhusu site hoardings mfano kulingana na sheria Na4 ya mwaka 2010 ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji majenzi,imeanisha vyema kabisa namna hording inavyotakiwa kuwa,uimara wako na hata wakati gani inatakiwa kuwekwa na kutolewa..................................sambamba pia na sheria za mamlaka za maeneo husika nazo zinatoza ada kwa ajili ya uzio huo......................................kwenye suala hili la uzio kuna mengi ikiwa pamoja na kuipa umma mandhari mazuri na kutozuia watu wengine kutekeleza majukumu yao wakati wa ujenzi unapoendelea...................

Naamini nitakuwa nimekuelewesha

Mwenzetu
 
Kwani anayehusika na site hawezi kupata hazards?

Usalama wa wapita njia zaidi.

Wanaohusika na site ni lazima wachukue hatua zote za kiusalama sehemu za kazi kama zilivyoainishwa na OSHA.

Mpita njia yeye anapita na kobaz zake na kapelo la NIKE hivyo kuzungusha mabati kwenye eneo ambalo ujenzi unaendelea itamlazima kupita mbali na eneo la ujenzi hivyo hata kitu kikidondoka ni ngumu kumdhuru.
 
Back
Top Bottom