PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,521
- 13,110
Watu wengine wanajifanya ni mafundi ukosoaji mwingi hivyo tunawadhibiti
Watu wengine wanajifanya ni mafundi ukosoaji mwingi hivyo tunawadhibiti
Hapo vip!
Binafsi najua baadhi ya sababu za kuzungushia mabati katika saiti ya ujenzi ila ningependa kufahamu sababu zingine kutoka kwako?
Kwani anayehusika na site hawezi kupata hazards?
Wachawi....Macho ya watu hapa unamaanisha nini.