Hivi ni kwanini tunatoa mahari?

Mkuu we jipange tu ukatoe hiyo mahari bhana .... yaana wataka kubargain mpaka mahari???? Chaaaa
Yaani mi nikatoe milioni 3 kwa ajili ya mwanamke wooiii!!!sio lazma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…