Hivi ni kwanini tunatoa mahari?

Ile ni kama shukrani kwa wazazi wa mwanamke kwa kumtunzia chanda chema na huwa ni kiasi kidogo tu, tatizo siku hizi Wanafanya mahali ndo njia za kutafuta mtaji (fursa) ya kungua duka la jumla
 
Me siku nikienda kutoa mahari nadai na risiti dadadeki
 
Mie nimeghait.. Nmeenda sehem wananiambia milion 3 kasoro visenti kidogo..

Wakat milion 2 kuna sehem ukifika unapewa jiwe urushe linapofikia ndio eneo lako...

Halaf mbaya zaid hyo milion 3 anaitaja mama mkwe.. Nimelipa robo halaf nmetoka kibati wakae na hizo hela, kama hela mali shabashi.. Ntaenda hata unguja huko nikapewe mjane kwa buku ishirin tu unapata mtoto minywele mpaka kwenye kalio..
 
Ni kudumisha mila. Sidhani kama mahali utakayotoa mwanaume inalingana na gharama alizotumia mzazi kumlea binti mpaka alipofikia.
 
wamemlea amekua mkubwa lakini hana bikra ndo malezi gani hayo?
Mzazi ana jukumu la kutoa mwongozo kwa bintiye. Kama jukumu lake kutunza bikra, nina imani angepewa uwezo wa kuhifadhi "k*m*" ya mwanawe.
Wazazi hawapendi ujinga, tusiwalaumu.
 
*woman at point zero by Nawal el sadawi* tafuteni hiki kitabu msome ndo mtaelewa kua kutoa mahari ni upuuzi wa kiwango cha phD
All women are prostitutes of one kind or another by Nawal
 
*woman at point zero by Nawal el sadawi* tafuteni hiki kitabu msome ndo mtaelewa kua kutoa mahari ni upuuzi wa kiwango cha phD
All women are prostutes of one kind or another by Nawal
Huyo jamaa ni ms*nge tu, hawezi sema "...all women are prostitutes..." Halafu isitoshe hicho sio kitabu kitakatifu.
God bless the women!
 
Huyo jamaa ni ms*nge tu, hawezi sema "...all women are prostitutes..." Halafu isitoshe hicho sio kitabu kitakatifu.
God bless the women!
Sio jamaa ni mwanamke asee tena alikua waziri wa jinsia, wanawake na watoto ( if am not mistaken) wa misri.
Usimtukane wala kumjaji kabla hujasoma na kuelewa point of view yake. Ila mwisho wa siku ukimsoma lazima utakubaliana nae asee
 
Awe na maana nzuri au mbaya siyo tija. Hilo neno "prostitutes" si lugha nzuri kabisa mkuu.
 
Huyo jamaa ni ms*nge tu, hawezi sema "...all women are prostitutes..." Halafu isitoshe hicho sio kitabu kitakatifu.
God bless the women!
ucjal mkuu coz that includes his mother...
 
Una akili, hekima na busara sana. Hili la mahari kusema kweli limepitwa na wakati.

Ni kudumisha mila. Sidhani kama mahali utakayotoa mwanaume inalingana na gharama alizotumia mzazi kumlea binti mpaka alipofikia.
Kwani kumlea mwanaume hakuna gharama. Tena ungejua matunzo ya mtoto wa kiume sio mchezo kama huamini nenda dukani ulizia bei ya nguo au viatu vya kike na kiume utaleta majibu hapa
 
*woman at point zero by Nawal el sadawi* tafuteni hiki kitabu msome ndo mtaelewa kua kutoa mahari ni upuuzi wa kiwango cha phD
All women are prostitutes of one kind or another by Nawal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama hamuoi kwasababu ya mahari amieni kwa wahindi. Wao wanawake ndo huwa wanatoa mahari na hawalalamiki wala nini sababu ndo mila zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…