Mkuu wape ahadi tu inatosha!.Mkuu hata mimi nakatibia eti nimeambiwa mahari muoaji ndo anatoaga hela yake mfukoni mwenyewe!!mi nimewwka mgomo siwowi bado nipo nipo dadeki!!
Naitaji kukuoa!!!Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,
kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,
kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Sherehe za harusi jee?Mila za kizamani kwamba mwanamke ni kama object tu, ni kama kitu cha kuuzwa na kununuliwa na mwanaume, binafsi siungi mkono ishu za mahari
Mwanamke akimpenda mwanaume ameridhika naye waoane tu,
kama ni suala la kugharamikiwa na wazazi hadi akakuwa mbona wa kiume nao wanagharamikiwa na akioa familia ya mke haitoi kwa familia ya mume kwa sababu kijana wao msomi waliyemgharamikia anamuoa na kwenda kumtunza binti yao?
Mahari lazima ilipwe kwa kuwa ni desturi ya makabila mengi hapa kwetu Tanzania, ni alama ya kutambua ulezi wa wazazi kwa kumlea binti hadi anakuwa mkubwa na kuja kupata mweza wa maisha, mahari sio bei ya kumtoa binti na wala haiwezi kulingànishwa kwa namna yeyote ile na thamani ya binti husika