Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
Ni kweli kabisa ila nashangaa ni kwanini tumelala sana unajua watu wa IT NA TELECOM wana mchango mkubwa katika ukuaji wa technologia ila nashangaa hawathaminiwi kabisaaMKUU HILI NI JAMBO JEMA SANA.
Ni kweli kabisa mkuu vijana huku wana graduate lakini ndo hivooWazo zuri.fanya kwenda wizara ya sayansi na teknolojia wakupe muongozo wa kuanzisha hicho kitu.
Ni uko uko europeNimesoma Europe nilipo graduate tu nikaingizwa moja kwa moja kwenye Institute of professional engineers.
Kwa hiyo siwezi kufanya kazi za I T bongo?Ni uko uko europe
Asante sana mkuu nimependa ulivyotambaa ila inabidi hapa muwashilikishe pia na watunga sheria na seraSharti Kwanza muanzisha Ka association Ka kuwaunganisha Kwa pamoja;ili kawape negotiation power;pili muweze kudefine nani ni professional,ili asiye na sifa asisajiliwe.Tatu jamii lazima ione umhimu wenu:-[
Mkuu issue sio IT wa bongo kutambulika internationally,IT is not hierarchical and it is in many way borderless.
People have their internationally recognized professional certifications.
Bodi ya IT ya Tanzania itafanya nini ambacho hakiwezi kufanyika kimataifa leo?
Unauliza kwanini hatuna printer katika ulimwengu wa email na smartphone?
Aliyeshauri jambo hilo sijui kama anaelewa "open system"nature ya IT na umuhimu wa kuwa hivyo ili kuendeleza innovation bila bureaucracy.Sio kweli kuwa hii kitu ipo nchi nyingi na ambapo ipo mara nyingi sio lazima kwa mfano Marekani ambapo ndo technolojia nyingi zinatoka hakuna.
Hii idea daima nitaipinga inaleta bureaucracy isiyokuwa na ulazima na itawakwamisha watu ambao hawajasome IT kufanya hizi kazi wakati IT ni kitu ambacho unaweza ukajifunza mweneyewe na ukawa bora kuliko aliyesomea.
Na bongo ndo kabisa litaingia tatizo la rushwa na kujuana, hii isiletwe bongo itaangamiza IT kabisa. Kama kuna mtu anahitaji project ifanywe na mtu aliye certified aweke kanununi hizo kwenye project yake mwenyewe.
Nimekuuliza swali hujalijibu. Sifahamu kamahujalielewa au vipi?Mkuu issue sio IT wa bongo kutambulika internationally,
Issue IT wa bongo atambulike kwa kazi anazozifanya na kuboresha technologia ndani ya bongo.
Kama ilivyo kwa watu wa phamacy sheria, accounts na procurement mkuuu