Hivi ni kwanini mabinti wa hapa MMU hamuolewi?

Hivi ni kwanini mabinti wa hapa MMU hamuolewi?

Hakika nawaambia....,, maisha haya kukesha eti mnaita maisha ya kujianika kwenye mtandao, wenyewe mnaita ma selfie..,, afu baadae unaenda kujitupa kwenye kitanda cha baba yako at 30 yrs then unachukua hyo tecno yako na kuingia MMU, kuanza ubishi usio na maana. Hakika nawambia mtazeeka.
We umeoa?
 
Hahahaha toka jana naona kuna watu wameamka vibaya humu..kuna jamaa nae jana kama sio juzi alianzisha uzi kuwazungumzia wadada wa JF basi kuna mmoja alitoa povu utadhani alitajwa yeye jina hadi uzi ukafungwa,jamani mmewatokea wakawakataa ama vipi??
 
aliyekuambia nataka mume nani? na nani kakuambia ninaamini unacho amini? na ni nani kakuambia siamini MUNGU?

Hapo chacha kavurugwa huyo, kila mtu na akili na mipango yake anataka watu waamini anachokiamini yeye kasahau kizuri kwake kwamwengine kibaya, anachokiitaji yeye wengine hawaitaji.
 
Kila anaeolewa aweke bandiko hapi

Kwanza kabisa niseme nimefurahi kukuona hapa.
Nawe lazima hili linakuhusu.

Tunatarajia mtu anapoingia ktk ndoa, uwezo wake wa kuwaza, kufikiri na kujieleza unabadilika. Kwani anakua ameingia sehemu mpya ya majukumu na malezi.

Hvyo kutokubadilika kwa mabinti wengi hapa ni dhahiri kabisa bado hawajapata msukumo wa kuwabadilisha@
ndoa.

Ahsante.
 
hakika nukuambia asilimia kubwa ya mabandiko ya mabinti hapa ni kweli.

Dreams na aspirations zao zinapobuma basi wao hukimbilia hapa kuja kupumzikia wanaume, utadhani sie ndo tumevuruga plan zao.

Wote tunajumliswa ktk bifu ambalo wala halituhusu. Nakwambia endapo hamtabadilika ndo dharau ambazo wanaume wanatoa, ney wa mitego kamwita mkewe bahasha,

huyu demu wake alifumaniwa kisa tamaa ya fedha.

Ahsante.

Hakika nakwambia ukikaa na kuyatilia manani Sana mabandiko ya humu utapotea.

Kuna watu wapo single humu ila wana waume na wake na watoto kwenye maisha yao halisi huko, mabandiko mengi humu nikama bongo movie sasa ww wekeza muda na akili zao uone unavyosugua gaga.

Wanaume tafuteni hela lasivyo mtaishia kuaibika, huyo Ney ndo wale wale type zakina Ezden, Gadner na mdogo wao Nuhu bila wanawake hawana jeuri mjini, Mimi nasema tafuta hela mwanaume heshima yake pesa bwana, mtalimbo hata mbwa anao huna hela kafie mbele.
 
Mbona mie sina jeuri kwa mtu humu ndan au kuna mtu kakukorofisha unatuconclude wote sio fair halaf tukiolewa tusipoolewa kinakuathir nini
 
Ha ha ha ha ha ha.! IKutokujiamini na kujikubali ni kubaya sana

-Jeuri
-kupenda hela
-kudharau wenye vibamia (olalalalalaaaaaaaa)
-vielimu vyetu

Wataolewa na watendaji kata? watendaji kata ni wanyama wao wanapenda wenye jeuri,wasio na hela,wao wana matango na hawapendi wenye elimu?
kama shida ni kuolewa na yeyote hata mtendaji kata ni mtu

acha aolewe nae akiridhia,Mungu aliwaumba na akili waweze kuchagua kitakachowaridhisha na kuwafurahisha....sasa kibamia tafuta kinaye mfaa,kipato chako pia tafuta kinayemfaa,vielimu,tafuta asiyekuwa navyo na jeuri tafuta asiyekuwa nayo...!

Si kuna wanawake wasio wa JF mnaishi nao huko mtaani? mbona usiwe nao basi uje uhangaike na wa JFNa bado,jipe moyo kwamba watazeekea kwa baba zao by the way hata hilo halikusaidii chochote wewe.!

Jifunzeni kukubali matokeo jamani,mtakufa na uzito wa uchungu wa watu wenye maisha yao,huwezi wabebea kutokuolewa kwao, pia wewe sio Mungu kusema hayo.Miaka kadhaa hapo nyuma tulikuwaga tunaambiwa hivi hivi tuliokuwepo jukwaani.

Cha kushangaza wameolewa na wasio wa JF na wengine walio humu humu nasikia na wana maisha mazuri.kwa akili yako great thinker,mama yako hakuchagua? alijichukulia tu? usijidanganye!
 
Kwanza kabisa niseme nimefurahi kukuona hapa.
Nawe lazima hili linakuhusu.

Tunatarajia mtu anapoingia ktk ndoa, uwezo wake wa kuwaza, kufikiri na kujieleza unabadilika. Kwani anakua ameingia sehemu mpya ya majukumu na malezi.

Hvyo kutokubadilika kwa mabinti wengi hapa ni dhahiri kabisa bado hawajapata msukumo wa kuwabadilisha@
ndoa.

Ahsante.

Mie nimeolewa na mume wangu nilimpatia hapa hapa JF
 
mimi nasema tafuta hela mwanaume heshima yake pesa bwana, mtalimbo hata mbwa anao huna hela kafie mbele.

akili hzi ndo hasa bandiko hli lawahusu.

Hizo hela unazotaka kuja zitumia tu ulinpa mtaji.??

Usiwaone watu wanachapaa mjini, wanaipata kwa taabu, watu wananing'iniza irizi ktikat ya mapaja ili wapige hela, wewe uje uzitumie kilaini laini.

Mtaishia fumuliwa vibaya..

Yule lulu akichuchumaa anapumua..
 
Mbona mie sina jeuri kwa mtu humu ndan au kuna mtu kakukorofisha unatuconclude wote sio fair halaf tukiolewa tusipoolewa kinakuathir nini

Haituathiri kitu ila at ur 40s unapokua na watoto wa3 kila mmoja na baba yake. Unakua ni mzigo mkubwa kwa jamii kwani huwa na malezi mabovu hvyo kuliongezea taifa mzigo na kusumbua ndugu bila sababu.
 
Hapo chacha kavurugwa huyo, kila mtu na akili na mipango yake anataka watu waamini anachokiamini yeye kasahau kizuri kwake kwamwengine kibaya, anachokiitaji yeye wengine hawaitaji.

Ndiyo maana yake
 
Mkuu blogger hii ni jf unaweza kuona watu humu wanarangi nyeusi kwa nje lakn kumbe sio rangi zao langi zao halisi ni nyeupe....... Kwakuwa hatuwezi kuongea utani wa viungo mbele ya jamaa zetu ndio maana tunakimbilia hapa penye giza
 
Last edited by a moderator:
akili hzi ndo hasa bandiko hli lawahusu.

Hizo hela unazotaka kuja zitumia tu ulinpa mtaji.??

Usiwaone watu wanachapaa mjini, wanaipata kwa taabu, watu wananing'iniza irizi ktikat ya mapaja ili wapige hela, wewe uje uzitumie kilaini laini.

Mtaishia fumuliwa vibaya..

Yule lulu akichuchumaa anapumua..

Hivi ulivoambiwa utakula kwa jasho ulizani maana yake nini??????

Jifunze toka kwa wazazi wako, mama anakaa home baba anatafuta na halalamiki tena anaona fahari, mshukuru Mungu siku hizi dunia imeendelea tunategemeana.

Na usikariri kila mwanamke anataka ndoa au lazima aolewe.

Ya Lulu hayanihusu sababu sijathibitisha Mimi siendeshwi kwa stori za mtaani, ifike kipindi kila MTU aangalie yake wakioa au kuolewa hupungukiwi wala huongezeki, Kama umeoa angalia familia yako wanao waje wajivunie kuwa na mzazi Kama wewe sio kutwa kuhangaika na mambo ya watu.
 
kwa hiyo unataka kusema unajua marital status ya kila mdada humu MMU? humu kuna walioolewa, walioachika, wajane, single but unavalable, micharuko etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom