Hivi ni kwanini jamani?

Mwanamke atakuwa na mapenzi yasiyokuwa na garama na wewe iwapo ana uhakika wa ndoa;ila kama ni kwa ajili ya kupoza injini tu.lazima ugaramike
 
Yaani siku hizi hata kutongoza tutaongopa sasa, maana ukigusa tu kutongoza unajibiwa na kuombwa pesa kwanza,
 
Hahahaha Dah Noma kiukweli Mim mpaka kutongoza naogopa wamekua omba omba
 
Ril kabisa koz hapa inaonekana upendo umepoa,ubinafsi mwingi na pesa mbele.
Hii tabia ipo mpaka ndani ya ndoa, utasikia mwanamke anasema na mimi nitafanikiwa tu. Ubinafsi kabisa, yaani unaona kabisa huyu kaolewa kwasababu tu hakuna jinsi. Ukitaka uone uhalisia wa tabia ya mwanamke wa siku hizi angalia waliooa wafanyakazi.
 
Vijana wanalalamika wako single sababu hawana pesa (kwa mtizamo wangu wanafeli) coz pisi za bure ziko nyingi tu(sio Kila demu Yuko after mane)..nachokiona hapa nikukosa confidence tu..
 
Kuna aliyeniambia ni haki yake kuniomba pesa alafu ndio kwanza tuna 1 month tena anakazia.
 
Vijana wanalalamika wako single sababu hawana pesa (kwa mtizamo wangu wanafeli) coz pisi za bure ziko nyingi tu(sio Kila demu Yuko after mane)..nachokiona hapa nikukosa confidence tu..
Waambie hao madogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…