MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Ni chama pekee kinachoshambuliwa sio tu na serikali na chama chake tawala bali na baadhi ya watu binafsi.Ni chama cha upinzani chenye wabunge wengi bungeni, ni chama cha ipinzani chenye madiwani wengi zaidi nchini, Ni chama pekee kilichopokea waliowahi kua mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa wakati mmoja nchini(huenda baadae kitapokea Rais mustaafu), ni chama chenye vijana wengi wasomi nchini.
Ikumbukwe kua kwa sasa tunavyo utitiri wa vyama vya siasa nchini, lakini Chadema kinapokea mashambulizi makali na kuna wakati kinateka mijadala mingi sehemu tofauti nchini. Kwa hiyo kwa mashambulizi makali kinachopata chama hiki ni stahiki yake. Tena inakiwa zaidi ya hapo na kinatakiwa kuongeza jitihada zaidi kama chama kikuu cha upinzani nchini.