Hivi ni kwanini CHADEMA tu?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ni chama pekee kinachoshambuliwa sio tu na serikali na chama chake tawala bali na baadhi ya watu binafsi.Ni chama cha upinzani chenye wabunge wengi bungeni, ni chama cha ipinzani chenye madiwani wengi zaidi nchini, Ni chama pekee kilichopokea waliowahi kua mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa wakati mmoja nchini(huenda baadae kitapokea Rais mustaafu), ni chama chenye vijana wengi wasomi nchini.

Ikumbukwe kua kwa sasa tunavyo utitiri wa vyama vya siasa nchini, lakini Chadema kinapokea mashambulizi makali na kuna wakati kinateka mijadala mingi sehemu tofauti nchini. Kwa hiyo kwa mashambulizi makali kinachopata chama hiki ni stahiki yake. Tena inakiwa zaidi ya hapo na kinatakiwa kuongeza jitihada zaidi kama chama kikuu cha upinzani nchini.
 
Ahsante, vp kama chama hicho kikaghairi zoezi la UKUTA Sept 1? nini kitatokea?
 
Ni chama pekee kinachoshambuliwa sio tu na serikali na chama chake tawala bali na baadhi ya watu binafsi.Ni chama cha upinzani chenye wabunge wengi bungeni, ni chama cha ipinzani chenye madiwani wengi zaidi nchini, Ni chama pekee kilichopokea waliowahi kua mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa wakati mmoja nchini(huenda baadae kitapokea Rais mustaafu), ni chama chenye vijana wengi wasomi nchini.

Ikumbukwe kua kwa sasa tunavyo utitiri wa vyama vya siasa nchini, lakini Chadema kinapokea mashambulizi makali na kuna wakati kinateka mijadala mingi sehemu tofauti nchini. Kwa hiyo kwa mashambulizi makali kinachopata chama hiki ni stahiki yake. Tena inakiwa zaidi ya hapo na kinatakiwa kuongeza jitihada zaidi kama chama kikuu cha upinzani nchini.

Hicho siyo chama cha kitaifa elewa hivo basi.

Hata tototundu na mawigi wakimaliza kutumika utaona watakavyotupwa jalalani
 
ndicho chama kinachojua kucheza mchezo wa siasa.........kwa sasa ni UKUTA kila mahali unazungumzwa (positively & negatively), hata habari za JPM ni za ukurasa wa 12!
 
kwa sababu ni chama kinachojua kucheza vizuri mchezo wa siasa...........UKUTA ndio habari ya mjini, hata stories za MPJ zinawekwa ukurasa wa 12!
 
Meremeta
Escrow
Radar
Richmond
Kigoda
Mikataba mibovu
Kuuzwa kwa wanyama
Meli mbovu
Nyumba za serikali.
Ufisadi wa chadema
Hivi bakharesa huwa ananunua wapi boti zake naona ziko poa kwanini serikali ingemuomba imukabidhi pesa atununulie boti kuliko kujifanya ujuaji kwenda kununua mv bwagamoyo iliyo juu ya mawe
 
Tumulize mkulu aliinunua wapi
Kumbe mkulu ndo alipiga ile sasa ile ni faida kwetu ama hasara au hana uchungu na kodi za watanzania alisema yeye ni rais wawanyonge afanye mchakato arudishe ule mngalangala apewe pesa yetu nadhani inatosha kununua laptop kutimiza ahadi kwa waalimu maana wasubiri ahadi itimizwe
 
Hilo nalo lipo aisee!
 
mti wenye matunda mazuri ndio utupiwao mawe.....punda atasikia mlio wake
 
Back
Top Bottom