Hivi ni kwa nini serikali ya CCM inataka kuua vyama vya upinzani Tanzania?

Sumu ya nyigu

Member
May 18, 2019
57
110
Kama vile wahenga wasemavyo:
"kuuliza sio ujinga"
nami Leo naomba kuuliza; Hivi ni kwa nini serikali ya CCM inataka kuua vyama vya upinzani Tanzania? Wana'invest nguvu nyingi Sana!
Plan yao ni ipi haswa? Is anything behind this?
 
Nadhani ni mtazamo tu.
Maana umeshasema vyama vya upinzani, ukimaanisha wanashindana.
Kwani vyama vya upinzani havitaki kuiangamiza ccm?
Ni kupambana tu hapo. Survival of the fittest.
 
Nadhani ni mtazamo tu.
Maana umeshasema vyama vya upinzani, ukimaanisha wanashindana.
Kwani vyama vya upinzani havitaki kuiangamiza ccm?
Ni kupambana tu hapo. Survival of the fittest.
Wacha kukurupuka unajibu kisisiemu zaid
 
Back
Top Bottom