Hivi ni kipi kitatokea endapo Simba hatokuwa bingwa mwaka huu na kisha Yanga awe bingwa tena!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Jamani,nawaza tu!

Hali itakuwaje km Simba na kwa maandalizi,mbwembwe na kujiamini kwao huko endapo hawatakuwa mabingwa tena msimu huu!

Kisha Yanga pia kwa mara nyingine tena itakuwaje km watachukua ubingwa tena.

Msimbazi kutakalika kweli?!Je,mzungu wao yule mpayukaji atapona na mashabiki kweli?!

Naomba unisaidie kujiuliza kwamba itakuwaje!
 
Muda sio mrefu wataanza kujichanganya....wewe subiri tu.
 
Mbona wamezoea kwani huu mwaka wa ngapi ubingwa was VPL wanausikia redioni ?

Viongozi watawapoza mashabiki kwa kukata rufaa FIFA maana hamna atayeuliza imefikia wapi baada ya miezi kadhaa.
 
Mbona wamezoea kwani huu mwaka wa ngapi ubingwa was VPL wanausikia redioni ?

Viongozi watawapoza mashabiki kwa kukata rufaa FIFA maana hamna atayeuliza imefikia wapi baada ya miezi kadhaa.
Na kumsajili yeyote kutoka yanga na kumuonesha kwenye simba day
 
Back
Top Bottom