Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,134
- 159,017
We jichekeshe tu ukidhani mazuri!!
Halafu cha ajabu utamkuta kila siku ya ibada yuko anakosalia na roho yake mbaya.Yaan nashangaa sis. Ila hyo mtu aliyemjibu hvyo BUSH BIN LADEN aki haendi mbinguni😂😂😂
Tabia yake sio nzuri kabisa, inabd kumuombea abadilikeHalafu cha ajabu utamkuta kila siku ya ibada yuko anakosalia na roho yake mbaya.
basi mwaya ngoja nijilizeWe jichekeshe tu ukidhani mazuri!!
basi mwaya ngoja nijilize
Unataka huyo unayeshare nae acc.ya insta animwagie tindikali?njoo Honey nikupe Good time na ulivo mzuri sipati picha
😅aisee wanawake mnachunguza,kumbe umejua mpaka hayo,ila usijali yule ni mchepuko tu
Wewe hujivunii kuwa mswahili mkuu??