mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,395
- 3,197
HajibuKwanini usimtafute ili ujue mbivu na mbichi mkuu.!
HajibuKwanini usimtafute ili ujue mbivu na mbichi mkuu.!
Inamaana ww Pm yako ni bikra?Hongereni sana ambao pm zenu zinafanya kazi wengine toka tufungue account miaka sasa zipo vile vile Kama tulivyokabidhiwa account na jf hata salamu tu kutoka kwa moderators hakuna
Siku ukibadili hii avatar, walaqhi' najinywea zangu mirinda 'myeusi' ya bariiiidi kwa furaha...!
Ndo maana nakupenda, unajua kunitunzia siri. Sikukukalia kimya, corona ndo inatutenganisha. Kama vipi nije huko tujilockdown😘babe zile ni siri zetu wawili🥰 alafu tabia ya kunikalia kimya miezi yote hiyo mi ntapata mwingine
Nihesabie na mimi tufurahie wote
Siku ukibadili hii avatar, walaqhi' najinywea zangu mirinda 'myeusi' ya bariiiidi kwa furaha...!
Wallahi na mimi naiweka ili wewe uitoe
Its here to stay, hivyo kunywa sparleta tu.
Wallahi na mimi naiweka ili wewe uitoe
njoo Honey nikupe Good time😍 na ulivo mzuri sipati picha😋😋😋Ndo maana nakupenda, unajua kunitunzia siri. Sikukukalia kimya, corona ndo inatutenganisha. Kama vipi nije huko tujilockdown😘
Toa mwaya mtoto mzuri. Takupa zawadi.
Siitoi.
Nipe hela.Toa mwaya mtoto mzuri. Takupa zawadi.
Teh takupa pipi. Ukauze upate hela.Nipe hela.
Teh takupa pipi. Ukauze upate hela.
That is a big word! He may meant to be yours, but are you meant to be his? That is the problem.Huwa naamini there's always 'next time', whatever meant to be mine,will stay no matter what..!!
Mie huko PM sipajuhi so nachukua ujuzi nianze kuja huko.Afadhali yako wewe mdogo wangu..
Hivi unajua kua uongo dhambi we kakaMie huko PM sipajuhi so nachukua ujuzi nianze kuja huko.
Ahahahaha naona umenimiss mamaa.Hivi unajua kua uongo dhambi we kaka
Sana, nmekumiss piemuni my wanguAhahahaha naona umenimiss mamaa.
Naja my dear...si unajua neno lako amri kwangu.Sana, nmekumiss piemuni my wangu
Karibu sanaNaja my dear...si unajua neno lako amri kwangu.