Hivi ni jibu gani uliwahi mpa mtu PM akakuchunia mazima?

We bibie niliekufata pm ukaniita roboti nilivozidi kukuchombeza ukanambia japo hinijui ntakuwa na sura kama mbwa kabeba kiporo cha ugali na nilivotaka kukutumia picha kuthibitisha kuwa unizaniavyo sivyo ukanifungia pm naomba kupitia uzi huu nikwambie kuwa kwa kweli ulinikomesha. Umenifanya niziogope pm za warembo wa humu. Mpaka leo najiuliza hivi we ni msichana gani una matusi ya vijiweni namna hiyo, nyockle zako
 
Hi guys,

Nimekumbuka hii ujinga Leo nikaishia kucheka.! Kuna wale watu huwa wanakuja PM kwa mbwembwe kibao, mrembo mrembo nyingi mara mtoto mzuri, (wanadanganyika na avatar obviously) lakini vile huja kupotea ndo wanashangaza na jukwaani unawaona unaishia tu kucheka hiiii'...!!

Huyu wa kwanza alikuja mbwembwe kibao, akauliza umri nikajibu 41, hajawahi kurudi na hata hiyo PM hakujibu, akajionea tu hii kikongwe nimetokana nayo wapi? akatoka ndukii akaniachia mpaka vumbi walaqhi'..!!

Huyu mwingine naye kaja na mbwembwe kama ngombea wa uenyekiti wa Vicoba, akataka kujua nipo wapi, nikamtajia kijiji ambacho hakipo hata kwenye ramani ya Tanzania, akajibu tu 'I thought upo dar nikutafute, nice day', akanipotezea mazima, nikaona ile namna wa mikoani hutengwa waziwazi, hahaa.!!

Huyu mwingine naye eti akaniongelesha busara siku mbili tatu,story za hapa na pale, baadaye akataka kujua nafanya kazi gani, nikamjibu mkulima, I swear mpaka Leo akanipotezea na ile PM hakujibu na huku jukwaani tunakutana zetu kiroho safi,
Hivyo kila nikionaga ID ya miminimkulimaakachekasana naishiaga tu kucheka, huwa natamani iwe 'miminimkulimaetiakanichunia'..!

Hivii huwa mnakutana nahizi sarakasi ama hizi ni kwa ajili yetu tu sisi wabarikiwa?

#nohardfeelings# tupunguze tu stress za corona,
Stay safe guys..!!
Hapa sijaona jibu la kumfukzisha mtu!..labda walikua wanajaribu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We bibie niliekufata pm ukaniita roboti nilivozidi kukuchombeza ukanambia japo hinijui ntakuwa na sura kama mbwa kabeba kiporo cha ugali na nilivotaka kukutumia picha kuthibitisha kuwa unizaniavyo sivyo ukanifungia pm naomba kupitia uzi huu nikwambie kuwa kwa kweli ulinikomesha. Umenifanya niziogope pm za warembo wa humu. Mpaka leo najiuliza hivi we ni msichana gani una matusi ya vijiweni namna hiyo, nyockle zako
 
We bibie niliekufata pm ukaniita roboti nilivozidi kukuchombeza ukanambia japo hinijui ntakuwa na sura kama mbwa kabeba kiporo cha ugali na nilivotaka kukutumia picha kuthibitisha kuwa unizaniavyo sivyo ukanifungia pm naomba kupitia uzi huu nikwambie kuwa kwa kweli ulinikomesha. Umenifanya niziogope pm za warembo wa humu. Mpaka leo najiuliza hivi we ni msichana gani una matusi ya vijiweni namna hiyo, nyockle zako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
C'ssy Shadeeya na mdogo wangu Depal walaqhi' nimeshindwa kucheka 'monyewe'..!!
 
We bibie niliekufata pm ukaniita roboti nilivozidi kukuchombeza ukanambia japo hinijui ntakuwa na sura kama mbwa kabeba kiporo cha ugali na nilivotaka kukutumia picha kuthibitisha kuwa unizaniavyo sivyo ukanifungia pm naomba kupitia uzi huu nikwambie kuwa kwa kweli ulinikomesha. Umenifanya niziogope pm za warembo wa humu. Mpaka leo najiuliza hivi we ni msichana gani una matusi ya vijiweni namna hiyo, nyockle zako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom