Hivi ni dawa kweli?

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
385
104
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau? Na mwanamke asipofanya mapenzi mda mrefu huweza hata kupata chunusi na uso kuwa rafu, iz t 2ru
 
FAIDA YA SEX KWA AFYA YA MWILI KWA WATU WALIO OWANA KIHALALI

FAIDA SEX KWA AFYA YA MWILI
Huimarisha immune system kwenye mwili.
Wanandoa ambao hushiriki angalau mara mbili kwa wiki walionesha kiwango kikubwa cha antibody zinazosaidia kupigana na magonjwa.

Huongeza umri wa kuishi.
Wanaume ambao walikuwa wanafika kileleni (orgasm) zaidi ya miaka 10 wali- boost uwezo wa kuishi miaka zaidi kuliko wale ambao walikuwa na hawafiki kileleni.

Hupunguza uwezokano wa kupata prostate cancer.
Wanaume ambao wali ejaculate zaidi ya miaka 35 walikuwa na asilimia 33 pungufu kupata prostate cancer.

Hupunguza cholesterol (mafuta)
Kutokana na zoezi la kufanya mapenzi (sex) ni zoezi tosha kuweza kupunguza cholesterol na kuondokana na kupata magonjwa ya moyo.

Huimarisha mzunguko wa damu mwilini
Tunapofanya mapenzi mapigo ya moyo huongezeka na mzunguko wa damu huwa na speed zaidi na damu huongezekana maradufu kwenye ubongo na sehemu zingine za mwili na matokeo ni mzunguko wa damu kuwa mzuri mwili mzima.

Huongeza uwezo wa kukua (growth)
Watafiti wengi wanakiri kwamba sex huongeza uwezekano wa mifupa kukua na kuimarisha repair ya tishu kwenye mwili.

Huimarisha uwezo wa kunusa
Baada ya sex, kuzalishwa kwa homoni ya prolactin huongezeka na huwezesha stem cells zilizopo kwenye ubongo kuzalisha neurons ambazo husaidia kunusa vizuri.

Hupunguza maumivu (pain relief)
Unapokaribia kufika kileleni kiwango cha homoni za oxytocin huongezeka mara tano zaidi kuliko kiwango cha kawaida, matokeo ni kutolewa kwa endorphins ambayo hupunguza maumivu ya kila kitu kuanzia kichwa, arthritis nk.

Huimarisha kibofu cha mkojo
Wakati wa sex unatumia muscles zile zile unatumia kukojoa (urine), kutumia mara kwa mara kwa hii misuli huwezesha kuwa na uwezo wa kuthibiti kibofu cha mkojo.

Huimarisha uke
Wanawake ambao huamua kutoshiriki sex wanakuwa na uwezekano wa kujisikia maumivu wakati wa sex (******l atrophy) kwa kushiriki mara kwa mara uke huwa mwepesi kutoa lubricant na hakuna maumivu.
Hapa kuna kanuni “use it or lose it!

Husaidia healing ya vidonda
Baadhi ya evidence zinapendekeza kwamba sex huweza kusaidia vidonda kupona haraka, ushahidi ni kwamba homoni za oxytocin husaidia vidonda kupona kwa regeneration ya seli mwilini na oxytocin huzalisha pale ukishiriki sex.

Hupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.
Wanawake ambao hawajawahi kuzaa walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya matiti, hii ina maana kwamba kujihusisha na sex hupunguza kupata cancer ya matiti.
 
Kwahiyo mkiwa hamjaoana kihalali sex inakuwa haina faida unazosema?? MziziMkavu
inakuwa haina Faida inakuwa ni tendo la zinaa hata Mungu hapendi hiyo Zinaa Bigirita

Mathayo, Chapter 5

[SUP]5:27[/SUP] Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

[SUP]5:28[/SUP] lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

[SUP]5:29[/SUP] Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

inakuwa haina Faida inakuwa ni tendo la zinaa hata Mungu halipendi hiyo Zinaa Bigirita

Tendo la zinaa maana yake ni nini? Hiyo ni lugha tu!
Acha kumsingizia Mungu kwenye mambo ya kitaalam.

Prostate cancer, kuongeza mzunguko wa damu, kupunguza cholesteral n.k ....... Hapa hakuna cha mungu wala zinaa.... !
 
Last edited by a moderator:

Bigirita
Mathayo, Chapter 5

[SUP]5:27[/SUP] Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

[SUP]5:28[/SUP] lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

[SUP]5:29[/SUP] Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

Last edited by a moderator:
hello jf doctors, natumai mu wazima. Nimesikia kuwa kufanya mapenzi mara kwa mara husaidia ngozi ya mwanamke kuwa nyororo na yakuvutia and virseversa, je ni kweli wadau? Na mwanamke asipofanya mapenzi mda mrefu huweza hata kupata chunusi na uso kuwa rafu, iz t 2ru

Bi nyakomba uzoefu wako unasemaje kabla hata sijaanza kuchangia..............lol
 
Last edited by a moderator:
Hupunguza uwezekano wa kupata cancer ya matiti.
Wanawake ambao hawajawahi kuzaa walionekana kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata cancer ya matiti, hii ina maana kwamba kujihusisha na sex hupunguza kupata cancer ya matiti.

MziziMkavu hoja zote zinaleta mwelekeo wa kukubalika kasoro hii ya mwisho kwa sababu kuzaa na kujaamiana hakuna uhusiano wa moja kwa moja...............wako wengi ambao hawazai lakini hazilali......na wako ambao wamezaa lakini zinalala......................
 
Last edited by a moderator:
Mathayo, Chapter 5

[SUP]5:27[/SUP] Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;

[SUP]5:28[/SUP] lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.

[SUP]5:29[/SUP] Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

Niaamini mia kwa mia juu ya neno hili La Mwenyezi Mungu.......AMEN
 
Tumeona faida za kufanya tendo la ndoa,je? Hasara zake ni zipi kwa wale wanao do kama dozi ya panadol?
 
Back
Top Bottom