Hivi ndo vimbwanga vya JF

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Alinikorofisha akomba msaada jf nikamshauri bila ya kujua ni yeye wala yeye asijue ni mimi akanitafuta tukakutana kwe kioski....unajua mambo yalikuaje....tulia kidogo story inakuja.....
 
usiwe na haraka subira yavuta kheri,sitaki kukupa vitu nusunusu.....
 
Thread za maana na comments za maana zinafutwa mods wanatukuza ujinga tu,
Ila sthing is wrong bro...mbona haya siku hizi? Hapo nyuma kidogo hapakuwa hivi!
 
story ya kutunga hiyo ndo mana imekushinda kuimalizia.....
 
hivi bei ya maharagwe 1 kg ni shilingi ngapi kwa sasa.?
 
Unazingua wew ungekuwa kamil ndo uje na uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…