Hivi ndivyo walivyo baadhi ya watanzania !!!

Joined
Dec 14, 2013
Posts
27
Reaction score
12
Baadhi Watanzania wapo kama baadhi ya wanawake wanandoa ambao watapigwa, watanyanyashwa, wataumizwa, NAMBA WATAISOMA, na kila aina ya uovu watafanyiwa na waume zao, lakini ukiwaambia wadai talaka, watesema nampenda mume wangu.
 
sasa shida yako nini..wacha wawe hivyo..kama unaona hufanani nao hamia kwingine
 
na hiyo ndio siri ya umoja wao..huwezi kuwagawa
 
Baadhi Watanzania wapo kama baadhi ya wanawake wanandoa ambao watapigwa, watanyanyashwa, wataumizwa, NAMBA WATAISOMA, na kila aina ya uovu watafanyiwa na waume zao, lakini ukiwaambia wadai talaka, watesema nampenda mume wangu.
Wakenya Wanatuita PUNDA,sisi ni kubebeshwa mizigo...utasikia hooo nchi ya Amani hooo naipata nchi yangu hooo magufuli atakufa na haya yatakwisha ..sasa kwani wewe hautakufa?
 
Back
Top Bottom