Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,072
- 165,805
- Thread starter
- #21
Mzuka ni K Vant na red wine 🍷Nacomment kilevi levi...,vant na lite pembeni
Mzuka ni K Vant na red wine 🍷Nacomment kilevi levi...,vant na lite pembeni
Analalamika na wajumbe.........Kwani kitwange anasemaje!?
Unajua Mimi ni Nabii kibonge acha kunisimangabila Shaka na wewe mtoa post umelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Analalamika na wajumbe.........
Kwani tuna ugomv mkuu...mbna unaniadhiri hv!Huyu ndio mlevi
1:Akipata kazi ANALEWA
2:Akifukuzwa kazi ANALEWA
3:Akioa ANALEWA
4:Akiachika ANALEWA
5:Akifurahi ANALEWA
6:Akichukia ANALEWA
7:Akipandishwa cheo ANALEWA
8:Akishushwa cheo ANALEWA
9:Akijenga nyumba ANALEWA
10:Akinunua gari ANALEWA
11:Akipata ajali ANALEWA
12:Akipata mtoto ANALEWA
13:Akifiwa ANALEWA
14:Akisifiwa ANALEWA
15:Akikosolewa ANALEWA
16:Akishiba ANALEWA
17:Akiwa na njaa ANALEWA
18:Timu yake ikishinda ANALEWA
19:Timu yake ikishindwa ANALEWA
LABDA AFE NDIO HATALEWA[emoji16][emoji16][emoji16]
Na tumeambiwa Mbinguni hakuna Pombe
Jf kucheka ni Bure ingia tu www.freebasics.comAhhahqhqqhahah nimechekaaaa