Hivi ndivyo viwango standard vya mlevi

Hivi ndivyo viwango standard vya mlevi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,430
Huyu ndio mlevi

1:Akipata kazi ANALEWA

2:Akifukuzwa kazi ANALEWA

3:Akioa ANALEWA

4:Akiachika ANALEWA

5:Akifurahi ANALEWA

6:Akichukia ANALEWA

7:Akipandishwa cheo ANALEWA

8:Akishushwa cheo ANALEWA

9:Akijenga nyumba ANALEWA

10:Akinunua gari ANALEWA

11:Akipata ajali ANALEWA

12:Akipata mtoto ANALEWA

13:Akifiwa ANALEWA

14:Akisifiwa ANALEWA

15:Akikosolewa ANALEWA

16:Akishiba ANALEWA

17:Akiwa na njaa ANALEWA

18:Timu yake ikishinda ANALEWA

19:Timu yake ikishindwa ANALEWA

LABDA AFE NDIO HATALEWA😁😁😁
Na tumeambiwa Mbinguni hakuna Pombe
 
Msitufokee sasa, alaaah!
Huyu ndio mlevi

1:Akipata kazi ANALEWA

2:Akifukuzwa kazi ANALEWA

3:Akioa ANALEWA

4:Akiachika ANALEWA

5:Akifurahi ANALEWA

6:Akichukia ANALEWA

7:Akipandishwa cheo ANALEWA

8:Akishushwa cheo ANALEWA

9:Akijenga nyumba ANALEWA

10:Akinunua gari ANALEWA

11:Akipata ajali ANALEWA

12:Akipata mtoto ANALEWA

13:Akifiwa ANALEWA

14:Akisifiwa ANALEWA

15:Akikosolewa ANALEWA

16:Akishiba ANALEWA

17:Akiwa na njaa ANALEWA

18:Timu yake ikishinda ANALEWA

19:Timu yake ikishindwa ANALEWA

LABDA AFE NDIO HATALEWA😁😁😁
Na tumeambiwa Mbinguni hakuna Pombe
 
Acha tulewe tu!!!! Kulewa ndio kipaumbele chetu kwa sasa.....nyinyi endeleeni na hayo mengine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom