Hivi ndivyo vitu vya kisasa

Kwa hiyo vile vya kwetu vilikuwa kama toy.
 
Ni vya kisasa ila havikutengenezwa kwaajili kuulia nyani wala simba ila kuuwa Binadamu kuelekea kuitawala Dunia:smile-big:
 
TUkinunua hivyo,nadhani tutakula nyasi, michanga na kokoto pia...
 
Vile vya kwetu tulivyotamba navyo muungano kuwatisha UKAWA na majirani zetu tuviweke kundi gani? Nafikiri vyetu ni silaha za jadi.
 
Vile vyetu vinatutosha, shida ilikuwa majigambo ya MC wa jeshi alikuwa anaongea utafikiri yupo kwenye kichen part
 
Kwa hiyo vile vya kwetu vilikuwa kama toy.

kuna mbunge wa viti maalum kupitia CUF rufiji,jion hii amevipiga madongo vifaa vya kijeshi vya JWTZ,
akasema 'Nashangaa watu hapa wanasifia vifaa vyetu imara,kwanza ni vya mtumba halafu vya mkopo'.
 
Mkuu hivi vitu ndivo vinatufanya tuwe na madeni na kuifilisi inchi na inchi ikiwa muflisi basi na wananchi wake nao huwa aldhofu yaani ule umasikini wa kutupwa kama india vile wananchi wake walivo na afya zao zimedhofu tena weusi kama sisi huku afrika au kama waswahili wa kibongo na deni lake lina baki miaka nenda rudi lakini bado liko hapo kwa hapo huku sisi tunafurahia na kuchekelea kwa vigeregere na magoma moto moto
 
Kwa hiyo vile vya kwetu vilikuwa kama toy.

Jk kavitoa tuikubali katiba mpya ya chama kimoja na serekali 2. Hupendi avimwage barabarani muone cha moto. Ntwala ntu halali nyumbani njomba. Haya makitu hayanunuliwi ya kuchimbia barabara za Magufuli, no no nooo. Ni vyakumpiga mtu mmoja tu. Mpinzani wako
 
Yani tanker moja ina operator wanne?

Yan adui unachapwa pande zote za dunia

Hii na hatari, tunasindikiza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…