komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 401
Kusoma vitabu 500 eti ili utajirike ni kujitafutia uchizi.Hawa matajiri tulionao wengi hawajasoma vitabu ata 20.Wengine hawajasoma kabisa.
Hiyo kuweka 1000 pia kwa miaka 30 ni ngumu haiwezekani hakuna mtanzania anaweza.
Hiyo ya vitabu 500 pia ni ngumu.unacomplicate maisha.
Ni vizuri mtu akasoma vitabu vichache vinavyoweza kumsaidia kulingana na fani yake au shuguli yake.
Pia kuweka Akiba ni muhimu lakin sio kwa njia ya Kusadikika yani elfu moja kwa miaka 30
Hii ni ngumu mzeee
mkuu MONEYstunna ni wewe au kuna mtu ka hack account yako?? Maana kwa jinsi ninavyokujua cyo mtu Wa kutoa hoja nyepesi km hii, we umekuwa mtu Wa mfano humu linapokuja suala la ujasiriamali kwny hili jukwaa, na msamiati ambayo ni chukizo kwa wajasiriamali ni neno"HAIWEZEKANI" mi binafsi nimeona hakuna lisilowezekana Kati aliyosema mleta mada. Ni maamuz tu km utaamua serious lkn "INAWEZEKANA"
Last edited by a moderator: