Hivi ndivyo tunavyojitegemea

hata kama upenzi serikali ya CCM lakini jaman ni miaka zaidi ya hamsin tangu tupate uhuru bado tuko na hali hii kweli? ama kweli CCM mbele kwa mbele
Eti kisa wameweza kuujenga huu mradi wa mkopo utakaolipwa hata na wajukuu zetu basi wanajidanganya kujitegemea.
 
Reactions: ydn
Mimi sipendi mtu anayepokea msaada huku anakenua meno! Haoni kuwa hiyo ni aibu kuwa kila mara unasaidiwa kana kwamba wewe ni mtu usiyejitambua.
hivi misaada inaumuhimu au haina
 
I sayee Japan bhana !!! Hata wakikumbwa na tsunami tena ... bado tutawadai mabakia ya ahadi zao !!!
 
Eti kisa wameweza kuujenga huu mradi wa mkopo utakaolipwa hata na wajukuu zetu basi wanajidanganya kujitegemea.
full mazingaombwe.....hapa hata kama una mpango wa kupata kid ujue ana deni lake kama kilo tatu hivi hahahaa
 
hata kama upenzi serikali ya CCM lakini jaman ni miaka zaidi ya hamsin tangu tupate uhuru bado tuko na hali hii kweli? ama kweli CCM mbele kwa mbele
Hizo shule zote ongeza misaada. Je, misaada ikitokomea itakuaje
 
mbona mnalalmika tu,what have you done anyway to be appreciated???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…