WATASUBIRI SANAWasabato na mauzauza yao. Yaani hata Papa akijamba tayari unabii umetimia. Wakati huo huo hata wenyewe historia yao kuanzia kwa mwanzilishi wao Miller na kuendelea mpaka kwa "nabii" wao mama Ellen G. White imejaa mauzauza tupu. Na wanaamini kabisa kuwa wao peke yao ndiyo watakwenda mbinguni kisa eti wanaabudu siku ya Jumamosi, hawali samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umemaliza, mwenye sikio la kusikia na asikieDini ni ujinga,
Dini si Mungu, Mungu si Dini
Dini ni mawazo ya wanadamu juu ya Mungu
watu waelewe na wafahamu kuwa Dini ni kilimbilio la watu wajinga na wapumbavu, bali Mungu ni kimbilio na watu wenye Hekima, Busara na Maarifa
Heri ya mwaka mpya
roman catholic sanamu za niniWe lazima ni msabato tu Roman Catholic Taifa kubwa, huwez kuja na hoja eti zilizoandikwa na magezeti sjui maneno ya watu acheni figisu hubirini neno la Mungu
Hawa si ndio walisema wametumwa na Mungu kuhubiri injili Iraq wakaenda Airport bila passport wala nauli. Mwisho wa siku wakaweka kambi pale kusubiri usafiri walipokosa wakarudi makwao..Wasabato na mauzauza yao. Yaani hata Papa akijamba tayari unabii umetimia. Wakati huo huo hata wenyewe historia yao kuanzia kwa mwanzilishi wao Miller na kuendelea mpaka kwa "nabii" wao mama Ellen G. White imejaa mauzauza tupu. Na wanaamini kabisa kuwa wao peke yao ndiyo watakwenda mbinguni kisa eti wanaabudu siku ya Jumamosi, hawali samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole na kanisa lako la mfukoni na pastor wako chuki yenu juu ya kanisa katolik tushaijuaHapa unaonyesha chukki yako kwa wasabato wala huna hoja ya msingi.kwa hili hulijui utendalo, kwani unatimiza unabii,Mungu akusamehe. Hicho kikundi ulichosema cha watu 600 sio kanisa la waadventista wasabato bali ni kikundi kilichochanganyikiwa kama wewe. Pia sio kila anyeelezea historia ya uasi wa kanisa katoliki ni msabato,historia iko wazi kabisa anayetaka kujua ataelewa tu hata kama hamtaki. Jana nimesikiliza kipindi star tv kuna pastor mmoja sijui wa kanisa gan na wali si msabato aliielezea jinsi kanisa la roma lilivyoingia katika vita dhidi ya wale waliohifadhi Maandiko matakatifu yaani Biblia.Waliwapiga vita waldensia kwa kuwa walitunza Biblia halisi.Huu ukweli ukisemwa bado mtawatukana wasabato? Neema ya Bwana wetu Yesu iwaangaze muutambue ukweli na kuufuata.
Naona jiwe limekupata huko mafichoni.Karibu, hapa hoja hutolewa kwa mujibu wa Biblia na hujibiwa kwa Biblia.Kinyume na hapo ni upagani, hapa si mahali pake.Pole na kanisa lako la mfukoni na pastor wako chuki yenu juu ya kanisa katolik tushaijua
Nilimsikiliza huyu jamaa Muitaliano aliyeconvert na kuwa muislam mwanzo mpaka mwisho
Kazana kusoma biblia umekaribia kuujua ukweli kakaHuyo pastor aliyatoa wapi hayo maandiko? Weka source kabisa ili tujisomee wenyewe.
Alafu, je biblia tunazozitumia mbona hazituelezi chochote juu ya hayo mnayoyasema ninyi? Au unataka kuthibitisha kuwa hizi biblia zote ni zile za kikatoliki? Na kama sio za kikatoliki, mbona hatuoni sehemu zinapozungumzia uovu wa kanisa katoliki?
Note: usianze kutokwa povu wakija wenyewe maana mimi pia sio mkatoliki.
Kwani Nabii Musa alikuwa msabato?kwanini wasabato wanatumia sana kitabu cha agano la kale?pia umesema Musa na Yesu walifundisha mafundisho tofauti lkn Yesu alisema hakuja kutengua torati wala kupinga manabii kwa maana ya kumuunga Musa mkono kwa aliyokuwa akiyafundisha.vile vile umesema Musa na Yesu ni tofauti sasa najiuliza sasa hii kumbukumbu LA torati 18:18 pale inamtabiri nani sasa kama wao ni tofauti?Wasabato wanajumuishwa na hao wengine na wanatambuliwa kama mojawapo ya Christian cults zilizofanikiwa sana. Mojawapo ya mafundisho yao yanayopingana na Biblia ni hili: Wanaamini kuwa Yesu hakukamilisha kazi ya wokovu pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 aliingia Patakatifu pa Patakatifu (Holly of Hollies) kuendelea kutuombea mbele ya Mungu Baba. Halafu wana kiherehere cha kutabiri kila jambo linalotokea duniani na kulihusisha na unabii. Yaani ukiwasikiliza aisee hutaweza kuishi. Ndiyo maana mwaka 1884 mwanzilishi wao aliwarubuni wafuasi wake kuwa mwaka huo Yesu anarudi wakauza kila kitu kumbe uwongo. Baadaye ndiyo ikasahihishwa kwamba mwaka 1884 haukuwa wa kurudi kwa Yesu bali ni Yesu alikuwa anahamia kwenye chumba cha Patakatifu pa Patakatifu huko mbinguni tayari kuanza kazi ya kutuombea mbele ya Mungu Baba.
Wanaweka msisitizo usio na sababu juu ya sheria za Musa hasa juu ya vyakula na ushikaji wa Sabato. Hakuna kula samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika au wasiocheua na siku ya Sabato hairuhusiwi hata kupika. Msisitizo huu katika sheria za Musa hata Yesu aliukemea mara nyingi na alikuwa na ugomvi wa muda mrefu na Mafarisayo. Ndiyo maana aliwakemea walipomzonga baada ya kumponya mtu siku ya Sabato na kumwambia ajitwike godoro lake aende.
Wanadhani kuwa kushika sheria hizi ndiyo kutawaokoa na wanadhani kuwa kwa kushika misheria hii ya Musa basi wao ni watakatifu kuliko Wakristo wengine. Kumbe Biblia na Yesu mwenyewe walifundisha kinyume chake. Yaani ni mvurugano mtupu lakini wanaamini kuwa wao ndiyo watakatifu pekee watakaokwenda mbinguni.
Uhuru wa mitazamo na kufikiriHili ni gaidi tu