Hivi ndivyo nimjuavyo binadamu

Hivi ndivyo nimjuavyo binadamu

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,801
Reaction score
86,573
Kwangu binadamu ni kama kitabu!,kitabu kilichosheheni mafungo na vifundo.
ukiwa mtoto mchanga kila unachokiona unakishangaa huku ukinakili kwenye akili,kuna upande vizuri kuna upande vibaya.

Tunajikuta tunaingia migogoro na watu kwasababu wengine hutembea na hulka zao pasipo kujing'amua au wewe unaekaanae kumng'amua.
mwanadamu ni kitabu,unaweza kukisoma na kunakili na ukazitumia taarifa hizo kujifunza au kujiharibu kama sio kumharibu yeye.
leo kuna watu wanaiga kitu fulani kwa fulani nikwasababu mwanadamu ni kitabu kinachosomeka.

ili kuishi na mtu vizuri ni lzm umsome kisha utoke na majibu ya huyu utaendananae vipi.. kuna watu wataendelea kukutia hasara kwasababu hujajuwa uendenao vipi,kuna watu watakuliza kila leo kwasababu wananafasi ya kufanya hivyo na umewaruhusu.
cha muhimu ni kumsoma mtu na utoke na majibu stahiki..
"mtu ukimjua kitabia atapiga kila seleka lkn kukuepuka ataweza kwa asilimia 0.005!"
ni kama mvua dawa yake ni kujikinga.

leo hii kuna teknolojia zinaletwa kwa kumsoma binadamu.
 
Kumjua binadamu ?

Na wasiwasi na bandiko hili

Ngoja nirudie kusoma

Teh
 
Walakini upo mkubwa tena sana

Kumsoma binadamu hata siku moja huwezi kummaliza basi kama ni kitabu kinapata update nyingi sana kila muda kiasi kuwa lzm urudie sana kukisoma

Hii ni kuwa binadamu are not static they are dynamic they tend to change time to time sure because they have hormone , this chemicals are not static they change depending of time, place , geographical area, types of food and psychological change

Kwa kawaida mwanadam uliye naye Leo usithani ndo atakuwa wa kesho kama ingekuwa mtu unaweza kumsoma mtu basi watu wanaoumizwa na mapenzi isingekuwa hivyo

Ndo maana mkitaka makubaliano. Na binadamu usipoyaweka kwenye maandishi lzm utakuja kulia

Teh
 
Human being is a political animal/ binadamu ni mnyama mwanasiasa.

Tunabadilika kulingana na mazingira. Siyo mimi, wewe au yule. Akiwa Jukwaa la siasa ni mwingine, akiwa MMU ni mwingine, Jukwaa la Dini- Intelijinsia na orodha inaendelea.

Huu ni mfano tu humu Jamii Forums. Uraiani si ndiyo kabisa?.
 
Ni sawa mawazo yako ila em tusimuite binadam KITABU hebu tujaribu kumuita ni mswada au scrept ya filamu ambayo bado haijarecodiwa COZ INAWEZA KUBADILIKA KUTOKANA NA MAZINGIRA AU KIPATO CHA MSANII ni maoni yangu ti
 
Walakini upo mkubwa tena sana

Kumsoma binadamu hata siku moja huwezi kummaliza basi kama ni kitabu kinapata update nyingi sana kila muda kiasi kuwa lzm urudie sana kukisoma

Hii ni kuwa binadamu are not static they are dynamic they tend to change time to time sure because they have hormone , this chemicals are not static they change depending of time, place , geographical area, types of food and psychological change

Kwa kawaida mwanadam uliye naye Leo usithani ndo atakuwa wa kesho kama ingekuwa mtu unaweza kumsoma mtu basi watu wanaoumizwa na mapenzi isingekuwa hivyo

Ndo maana mkitaka makubaliano. Na binadamu usipoyaweka kwenye maandishi lzm utakuja kulia

Teh
He he! mkuu pole sana!
kuna sehemu nimeandika "mafundo na vifundo"
hicho ndicho nnachokiona kwako!
ningekuwa najua kuwa binadamu habadiliki ningekuambia kariri lkn nimeandika msome.
wewe unaona ugumu lkn hivyo ndivyo binadamu anavyokuwa controled!.
 
Hehehe wewe kenzy kweli

Kumsoma huyu ni kuumiza kichwa tu hiyo tuwaaachie wana saikologia

Teh
 
Human being is a political animal/ binadamu ni mnyama mwanasiasa.

Tunabadilika kulingana na mazingira. Siyo mimi, wewe au yule. Akiwa Jukwaa la siasa ni mwingine, akiwa MMU ni mwingine, Jukwaa la Dini- Intelijinsia na orodha inaendelea.

Huu ni mfano tu humu Jamii Forums. Uraiani si ndiyo kabisa?.
Mkuu kuna tabia ambazo ni kaliba yako huruki viunzi!.
huenda nikawa nimetumia lugha ngumu kwenye hii mada lkn najua ukitulia utanielewa.
 
Hehehe wewe kenzy kweli

Kumsoma huyu ni kuumiza kichwa tu hiyo tuwaaachie wana saikologia

Teh
huko mitaani migogoro haitaisha!

tena hiyo saikolojia ukiijua wengine utajua anafanya kitu fulani kwasababu yupo kundi fulani hivyo hutakuwa na haja ya kupaniki wala kushikana mashani na unaweza kujua how to lead him or her.
 
Mkuu kuna tabia ambazo ni kaliba yako huruki viunzi!.
huenda nikawa nimetumia lugha ngumu kwenye hii mada lkn najua ukitulia utanielewa.
Sawa.

Huenda umeandika kwa Ufunuo wa Mungu. Ngoja Roho Mtakatifu anishukie. Huenda nikakuelewa mbeleni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom