Hivi ndivyo itakavyokuwa....

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Nahisi kama siku ya hukumu kutakuwa na
Malaika anaye-monitor madaftari ya vicheko na
Matabasamu,
Hapo ndipo Malaika yule wa Vicheko
atakapofunua Daftari la vicheko vya
mwanadamu na kutoa ripoti kwamba
"wewe Fulani bin fulani katika maisha yako
umecheka Mara tilioni 6.5 lakini ni vicheko
19,000 tu ndivyo vina-qualify kuwa real na dhati
ila hivi vingine ulichekea kichogoni kwa dhihaka
kuu ukizomea,
kwa kweli naona hapa kwenye rekodi yako
vicheko 15,000 ni vya utotoni wakati hujui
dhambi na hivi 4,000 vinahusiana na Ze
komedi,Facebook na message za tigo,
pia Umetabasamu Mara tilioni 4.4 na hapa
matabasamu real ni 13,000 tu na haya yote
yanahusiana na ulipopokea hela kwa M-
pesa,Tigo pesa,siku ya mshahara,mikopo
pamoja na kukubaliwa na Wapenzi, haya kunja
kushoto ukauchekee Moto,aje mwingine!!

#Bampami
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…