Hivi ndivyo ilivyo....

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Maisha Bora bado ni kitendawili kwa wengi ya wapiga kura wa kutumainiwa huko mijini na vijijini. NI KATIKA NCHI AMBAYO WENGINE WANAZAIDI YA JOZI ISHIRINI YA VIATU!


feet.bmp
 
Mmh afadhali hawa wana kandambili a.k.a malapa.,kuna wengine wengi tu wanatembea pekupeku
 
Hili vumbi la nguna ni la mkoa gani. Duh, umenikumbusha mbaaali kweli kweli
 
And they are exercising their voting right with Assiduousness!! dime!!!
 
Kutembelea kandambili sio ishu. I love my kandambilis na open shoes.Makes me feel free. Labda unambie uvaaji kandambili kwenda sambamba na ukubwa wa kipato.
 
Kutembelea kandambili sio ishu. I love my kandambilis na open shoes.Makes me feel free. Labda unambie uvaaji kandambili kwenda sambamba na ukubwa wa kipato.

Mwanamke anaamka kumi na moja alfajiri analala sita usiku. shida kibao, kuanzia maji mpaka mafuta ya kuwashia "koroboi" Pengine mwili haugusi maji kwa kuwa hayapatikani kirahisi....manukato au mafuta ya "shanti/rays" ni simulizi.

vumbi kuanzia chumbani mpaka msalanii! Hata kandambili hazifai zaidi ya kuzuia miguu dhidi vitu vyenye ncha kali na joto la ardhini.

Kandambili ni mwendo wa kisimani, msalani mpka kwenye sherehe!.
 
Back
Top Bottom