Hivi ndivyo afanyavyo barack obama duniani

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,857
Tanzania imekuwa ni moja ya nchi mashuhuri kutembelewa na marais wa Marekani. Kama ingekuwa nchi nyingine yeyote duniani, marais hao watembezi wangeulizwa maswali muhimu juu ya matendo yao ya kishetani yanayosababisha vifo vya maelfu, bali mamilioni ya watu katika sehemu nyingi duniani. Tangu George Bush na yale aliyoyafanya Iraq ya kutumia silaha za sumu kali na kusababisha hadi leo watoto kuzaliwa wakiwa vilema, hasa katika mji wa Falluja.....
fallujah deformity of Children - Google Search

na kufikia Barack Obama na mashambulio yake ya drone huko Pakistan, Afghanistan, Yemen nk, mashambulio ambayo yamewauwa watu wengi wakiwa katika sherehe za arusi, matanga au mikusanyiko ya ibada.
Kungekuwa na uadilifu duniani, hawa Marais wawili kwa kweli ni 'war criminals' hata zaidi ya M23 au watu wanaowapachikiza jina hilo.
Swali ni hili: jee Tanzania hakuna uelewa wa mambo kiasi kuwa hawa wanapotutembela kazi yetu ni kukenua meno tu? Au ni kwamba siku hizi Tanzania haijali masaibu yanayowapata wanadamu wengine duniani?
Watakwambia tunataka maendelo na misaada na ruzuku.....! Mbona Mwalimu alipokuwa akiyakemea mambo haya Watanzania hawakufa njaa? Kitu gani kikubwa basi watu hawa wamekileta Tanzania?
Ukweli ni kuwa nchi yeyote isiyojali uadilifu duniani haitajali uadilifu ndani ya mipaka ya nchi yake (hii ndiyo hali ya Tanzania hivi sasa).
Hebu tazama Barack Obama anavyofanya- mauaji ya cold blood!
EVERYONE needs to see this! Drone Strikes - YouTube
 
Kweli binadamu hatosheki. Nyinyi si ndio ambao mnalalamika jinsi hali ilivyokuwa kipindi kile cha Nyerere?
 
I see, kwa hiyo wewe sasa umetosheka.
 
Muweke na Bill Clinton kwenye list ya mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994 pamoja na maauaji ya kutisha yanayoendelea DRC ni mkono wa Bill Clinton
 
Hao Marais wa Marekani wanaokuja Tz sio kwa vile wanatupenda! "America has no friends...only interests" ni usemi unaofahamika vizuri. Na sisi - hapana viongozi - wetu kujikomba komba kwa Marais hao nao wana maslahi - ama halisi au ya kufikirika
 
Muweke na Bill Clinton kwenye list ya mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994 pamoja na maauaji ya kutisha yanayoendelea DRC ni mkono wa Bill Clinton

Aongezee Osama,Sadam,Taliban and co!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom