Hivi ndio tunaelekea kwenye uchumi wa viwanda????

Jul 14, 2011
24
29
Nakaa najiuliza, natafakari sana.

Mambo yanayofanyika katika nchi hii kwasasa yananipa wasi wasi kuwa ni kweli tunatengeneza nchi ya viwanda?

Hivi ni kweli nchi haina wakubwa na wasomi kuwashauri viongozi wanaotupeleka kusiko?

Mbaya zaidi kinachonisumbua ni kuwa kuna watu wamepotea na hatuna habari zao mpaka sasa, kijana wetu Ben Saanane, binafsi sijui hii ishu imefikia wapi!

Tanzania ya viwanda kwa mwendo huu, tutasubiri sanaaaaaaana!
 
Back
Top Bottom