Kisali.TechnitianJr.
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 592
- 182
mkuu kuna vijamaa vilikuwa chini kabisa ya age yangu by that time nikiwa form 2. vyenyewe vina vindevu lakini mimi wapi!
Hayo ni mambo ya genes. Kuna watu wana midevu uso mzima mpaka kwenye shingo, wengine zipo kidogo tu kidevuni na wengine hawana kabisa. Ni mambo ya kurithi. Sidhani kama kutokuwa na ndevu kunampunguzia mtu chochote.
Umenikumbusha mwanangu mmoja nilisoma naye A-level ila sasa ni marehemu, yeye kiumri alikua katuzidi ila hakuwa na ndevu hicho kitu kilikua kinamuumiza sana Kila asubuhi anaangalia kama zimeota anakuta wapi hadi akakubali matokeo that haji kupata ndevu. Nadhani hii kitu ni genetic issue ila sio ishu ya maana sana kumsumbua mtu kichwa, nawajua watu kadhaa wachaga hawana ndevu na ni watu wazima na familia zao.
Ushaona mmasai na ndevu?
sina!
ila sharubu si ni sehemu ya muendelezo wa ndevu? au mi ndo sielewi!