Hivi NCC inatambulika?

Hivi NCC inatambulika?

Mkuu hivi iliweza kupata habari zaidi kuhusu hii ncc
Ukiacha hayo niliyo yaandika hapo juu taarifa nilizopata kutoka kwa NCC wenyewe ingawapo hawakwenda kwa undani ni kuwa NACTE wanashikilia kuwa ili uingie NCC Level 4 unatakiwa uwe na NACTE level 4 hadi 6 vinginevyo NACTE watakuwekea ngumu. Hivyo ukitaka NCC qualifications zako zitambulike itakulazimu upige kwanza NACTE Diploma.
Programs za hawa jamaa NCC zina base sana kwenye uelewa na vitendo, mitihani yao mingi ni aina ya assignment ambazo mwanafunzi anatenda na kutoa report au kitu kinachoulizwa, ile mitihani yetu tuliyo zoea ni michache sana.
 
sasa mkuu kwa wale waliosoma Ncc kuanzia walivyomaliza form 4 yani kuanzia NCC level3 hadi wamefika Level ya Dedree swala lao likoje kwenye ishu ya kutambulika? Na jingine kwamfano wakamaliza hiyo degree wakasoma degree ya pili yani post graduate degree(kwa mtaala wa kawaida njee na huu wa NCC) kwenye chuo chenye uhusiano na ncc mfano vyuo vya uingereza hivyo vyeti vyote NACTE hawata vitambua au wata tumia kigezo cha Kuto kui recognise Ncc kuikna hii degree yako ya pili?Naomba msaada wako katika jambo hili kwa kadri ya uwezo wako kwa maana linanigusa ndugu yangu (Maji yamenifika shingoni)
 
Mkuu kwa kweli sina jibu nilichofanya ni ku-report kile NCC walicho nitaarifu. Huo hapo ni msimamo wa NACTE hata sijui TCU wana msimamo gani. Naamini ukifanya postgraduate nje ya NCC kihaki inatakiwa itambuliwe sasa sijui hawa TCU/NACTE yetu. Kiukweli sijui kwa nini NACTE wanaona ugumu kutambua degree ambayo sehemu nyingi duniani pamoja na UK yenyewe wanaitambua. Sijajua uko wapi lakini ingekuwa vizuri kama unaweza kuwa access TCU uende ukawaone moja kwa moja bila kuwahusisha NACTE. TCU wana system mtandaoni ambayo unaweza kuitumia na watakupa jibu kama wanaitambua degree yako ya kwanza au vipi. Ukiingia website yao utaipata wanahitaji malipo fulani, laki au chini.
Nikupe pole lakini nafikiri ujaribu TCU huenda wakawa na mtizamo tofauti.
 
Ukiacha hayo niliyo yaandika hapo juu taarifa nilizopata kutoka kwa NCC wenyewe ingawapo hawakwenda kwa undani ni kuwa NACTE wanashikilia kuwa ili uingie NCC Level 4 unatakiwa uwe na NACTE level 4 hadi 6 vinginevyo NACTE watakuwekea ngumu. Hivyo ukitaka NCC qualifications zako zitambulike itakulazimu upige kwanza NACTE Diploma.
Programs za hawa jamaa NCC zina base sana kwenye uelewa na vitendo, mitihani yao mingi ni aina ya assignment ambazo mwanafunzi anatenda na kutoa report au kitu kinachoulizwa, ile mitihani yetu tuliyo zoea ni michache sana.
Duuh sasa mbona hawa Ncc bado wanatoa course zao za foundation katika vyuo vyao vya hapa nchini mkuu na wanajua fika kua nacte hawata tambua credits zako za hicho cheti kama hukusoma mtaala wa wao(Nacte) yani entry thrhough Nacte level 4
 
Nafikiri hilo wanamuachia mhusika kuchagua. Kuna wenzetu wanauwezo wa kwenda kusoma huko majuu kwa hiyo wakifaulu foundation level 3 ina maana wanaweza kuomba vyuo vya huko moja kwa moja na wakifaulu wnakuwa international workers na hata wakirudi nyumbani hakuna ulazima wa kuweka hizo foundation kwenye utambulisho wa degree zao. Wengine wanajitayarisha kwa private jobs and self employment huku inawezekana hiyo siyo issue. Kundi lingine ni wale wanao ingia bila kujua sasa hawa ndiyo wanakutana na huu mtiti (sijui kama hivi vyuo vinawatahadharisha).
 
Daah"Saa hapo mkuu si inakua tena imepoteza maana nzima ya system Nacte walio iweka maanaa wanafunzi wenye uwezo wata soma hizi foundations bila hata ya credits zakutosheleza alafu wataenda ulaya kusoma vyuo vikuu baada ya miaka mi tatu wakimaliza watarudi nchini na kupew equivalent ya bachelors degree na tcu.Duuh"
 
Haya mambo yana ugumu wake. NCC wanapo weka mataala wao wanaangalia matakwa ya uingerea kwanza ili program zao zitambuliwe kwao, kitu ambacho kinawezesha nchi nyingine kutambua. Lakini kila nchi ina priciples zake. Sasa kwa Tanzania kwa ujumla ukimaliza form 4 wao wanataka utumie miaka 3 kabla ya kuingia chuo, na hapa ndiyo NACTE wanapo pata shida na NCC.
Sasa tujiulize ukifanya foundation halafu ukawa admitted chuo kikuu uingereza kwa mfano ukapiga miaka 3 na kupata bachelor's degree yako tatizo li wapi maana degree ile haijalishi umeingiaje chuo. Wanajali zaidi umetokaje.
Hitimisho: Usawa ni mgumu kwa hiyo kila mtu apitie njia anayo imudu bora tu asivunje na ajilinde na sheria.
 
Daah"Sasa mkuu kama ni hivi ina maaana kupitia hii njia ya ncc mtu unaweza ukamaliza form 4 ukapiga foundation yao one year then ukafanya degree ya kawaida katika chuo chochote cha uingereza chenye mahusiano na ncc??
 
Nimepata chuo kimoja uingereza kinacho pokea NCC foundation certificate kama entry ya degree zao kwa mwaka wa kwanza nataka nifanye degree ya kawaida ya BUSISNESS MANEGMENT ya UK yani through online program yao sasa tatizo mimi sikupata credit 4 katika cheti changu cha form 4 yani (result slip) sasa nikijiunga na hii degree bada ya kumaliza hii level 3 ya ncc haita nisumbua wakati wakuomba ajira kwa awamu hii ya uongozi maana ningependa sana kuajiriwa serekalini kuliko private japo ndugu zangu wengi wana fanya kazi private na wanataka na mimi ni ajiriwe huko au nijiajiri(Nifungue kampuni) Naomba kujua kuhusu hii verification ya vyeti vya degree za nje ukoje kama yani hua wanatazama kuanzia entry levels zako au hua wanaangalia kuanzia Bachelors degree yako na kuendelea?
 
Daah"Sasa mkuu kama ni hivi ina maaana kupitia hii njia ya ncc mtu unaweza ukamaliza form 4 ukapiga foundation yao one year then ukafanya degree ya kawaida katika chuo chochote cha uingereza chenye mahusiano na ncc??
Naomba nipe ushauri mkuu
Emerson Education ndio wanaotoa Foundation Program ya mwaka mmoja ambayo inakuruhusu kujiunga na vyuo kadha vya UK na sehemu nyingine. Ndani ya miaka 4 au 5 kutegemea ni chuo gani unapata degree yako.
Vinginevyo kama umeweka kutambulika mbele piga NACTE diploma 3 years halafu soma hapa hapa nchini NCC level 4 and 5 na malizia na Top up degree ya mwaka 1. Jumla miaka 6.
Lakini nafikiri ukitaka kuwa sahihi fanya clearance na NACTE/TCU tena kwa maandishi.
 
Naomba kujua kuhusu hii verification ya vyeti vya degree za nje ukoje kama yani hua wanatazama kuanzia entry levels zako au hua wanaangalia kuanzia Bachelors degree yako na kuendelea?
Hapa sina hakika lakini ninavyowajua waTz wenzangu sitashangaa kuwa wanaweza kuanza kuangalia F4. Again miaka 4 ya kupitia NCC ni gharama kubwa fedha na wakati hivyo ni vizuri kujilinda kwa kuomba clearance na TCU/NACTE.
 
Emerson Education ndio wanaotoa Foundation Program ya mwaka mmoja ambayo inakuruhusu kujiunga na vyuo kadha vya UK na sehemu nyingine. Ndani ya miaka 4 au 5 kutegemea ni chuo gani unapata degree yako.
Vinginevyo kama umeweka kutambulika mbele piga NACTE diploma 3 years halafu soma hapa hapa nchini NCC level 4 and 5 na malizia na Top up degree ya mwaka 1. Jumla miaka 6.
Lakini nafikiri ukitaka kuwa sahihi fanya clearance na NACTE/TCU tena kwa maandishi.
yeah chuo chenyewe ni emerson mkuu nitaka kujiunga na course yao ya international foundation year ili nisome degree ya kawaida ya UK sio hizi za ncc tena bro ncc ntapiga mwaka mmoja tu mzee ili nipate foundation yakusoma kama mwanafunzi wa kawaida shida yangu labda ni kupata clearence(verification) ya nacte hapo ndo nawaza itakuaje mzee ntapo maliza hii degree yangu chuo chenyewe ninachotaka kwenda kinaitwa london university kiko UK ni chuo chakueleweka mzee world renown na nina scholarship tayari na pia kuna kingine kinaitwa London university of bussiness and finance
 
Kwa hilo namini wahusika watakuwa TCU. Nenda kawaone au tumia haya "mashirika" yanayotambuliwa na TCU ili wacheck kukubalika kwa hiyo plan yako. Wahusika ni:
  1. Cari Vision Study Abroad Universities Ltd;
  2. DARWIN Education Agency Ltd;
  3. Elimu Solutions Tanzania Limited;
  4. Gelson University Link Limited;
  5. Global Education Link Ltd;
  6. Livjene International;
  7. RafikiChina Elite Universities;
  8. Uniserv (T) Ltd; and
  9. Yuhoma Educational Ltd.
Ukigoogle utapata contact zao. Kama Global wana ujuzi wa kutosha ingawa sijui watakukamua kiasi gani. University of London ni chuo kikongwe na kinatambulika. All the best mkuu.
 
habari kaka nimerudi tena,Nilikua nahitaji msaada
 
wazee kazi serikaini hamuonagi tangazo la vyeti kuwa verified kwanza na TCU au nacte kwa wale waliosoma vyuo vya nnje au ivyo vya ndan lkn program za greenwich sijui canada na nk kwann usome elimu ya mshaka mashaka kama vigezo vya kusoma elimu ya uhakika unayo
 
kaka wapo watu wana ndoto ya kusoma elimu ya vyuo njee ya nchi ila gharama zinakua kubwa ndio mwisho wasiku unakuta anaamua kutafuta mbinu kama hizo,za kusoma kwa distant learning mkuu,Kwasababu pia inaleta unafuu pale utapo fika kwenye hatua ya kusaka ajira
 
unafuu labda kwenye kampuni binafsi serikalini kama haujasoma vyuo vilivyosajiliwa na nacte au Tcu umeumia maana vyuo vya nje au vitavyofuata mlolongo wa nchi za nje cheti chako lazima ukipeleke huko kwanza waverify na huko wakiona hakieleweki wanapiga chini
 
wazee kazi serikaini hamuonagi tangazo la vyeti kuwa verified kwanza na TCU au nacte kwa wale waliosoma vyuo vya nnje au ivyo vya ndan lkn program za greenwich sijui canada na nk kwann usome elimu ya mshaka mashaka kama vigezo vya kusoma elimu ya uhakika unayo
Kuuliza si ujinga. Ulioandika ni sawa na ndio maana watu wanauliza kama elimu fulani inatambulika hata kabla mtu hajajitumbukiza huko ili kuwa na hakika.
 
Back
Top Bottom