Uchaguzi 2020 Hivi nawaza ikatokea Membe akagombea kupitia CHADEMA 2020

Naona CCM mmeanza tena ramli chonganishi!! This time Tundu Antipas Lissu anatosha hata JIWE analijua hili.
Mngeongea tu na Membe maana huyo Lisu hakumaliziwa dozi kwa hiyo anasubiriwa akitua tu airport wale 'manesi' wanampokea wamalizie dozi.
 
Kwa hali halisi ilivyo, nadhani Lissu ndiye atakayekuwa mgombea wa urais kupitia tiketi ya chadema. Hiyo option ya kusaidiana ni nzuri kabisa!
Mmesahau mlichofanyiwa 2015? Alafu Tundu Lissu kugombea Urais ni kumpoteza kwenye siasa. Bora tuendelee kumsikia huko kwenye kutunga sheria.

Dr Slaa aliweza kubakia relevant hata nje ya ubunge sababu ya uzoefu wake kusimamia taasisi na mambo ya utawala,hekima na kipaji cha uongozi .

Nje ya Bunge Lissu ataishia kuwa mwanaharakati lakini si kuisimamia na kuongoza taasisi ndio maana hata kwenye Urais hatoshi. Lissu ni first class cream kwenye mambo ya sheria na uanaharakati lakini si kusimamia dola. Ukweli mchungu sana huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo fireness ya Lisu mnaipimaje wanangu!!? Hyo ndoto uliyoota mbona bado mchana, ulilala saa ngapi!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifikiri kama nitapiga kura nipoteze muda. Hata upinzani ushinde watachukua kibabe majimbo na nchi. Bora nikahangaike kwenye kutafuta chochote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uchaguzi wa Urais 2020 utakuwa mwepesi sana kwa Magu. Hata sijui Chadema itafanya vipi kampeni wakati ina ukwasa hivi.
 
Huyo membe sijui mae.mbe hatumtaki, bakini nae huko huko Fisiem , CDM wanao watu wa kuwawakilisha

Sent from my iPhone using Tapatalk
 

MEMBE HAWEZI KWENDA KUGOMBEA CHADEMA.

HANA SABABU YA KUFANYA HIVYO NA HANA NIA YA KUFANYA HIVYO.

ILA ISHIRINI ISHIRINI ATAGOMBEA KUPITIA CCM BAADA YA ONE TERM PRESDENTIAL YA JIWE.

MEMBE BADO ANA PROFILE NZURI SANA KARIKA WANA CCM.

HIVYO ACHA KUMWAZIA HAYO.

JIANDAE KISAIKOLOJIA KUMUONA MBOBEZI MEMBE MZEE WA RONDO CHIPONDA AKICHUKUA FORM .

TUNA IMANI NA BENARD MEMBE......🎼🎼🎼 OYE OYEE,MEMBE OYEE 🎻🎵🎶

STAY TUNED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…