Hivi nani alisema sherehe hainogi bila kwaito????

Hivi nani alisema sherehe hainogi bila kwaito????

Sijui nyie wa matawi ya juu sie wandengereko na wazaramo upuuzi huo hautupati ,tunatifua vumbi maeneo ya RUPWIYI kwa mbungi,nchunjena tukifika MANERUMANGO tunajiachia na ndalandala ,vanga ,mdundiko na burudani zifananazo!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Back
Top Bottom