Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 2,015
- 3,965
Kat ya kosa ambalo ni biggest regret kwenye maisha yangu ni kumpa kura yangu huyoo jamaa.sikuwahi kuipenda CCM ila nilimchulia zaidi Lowassa
Leo cjui kwa nini nachapia sana nilimchukia zaidi LowasaKat ya kosa ambalo ni biggest regret kwenye maisha yangu ni kumpa kura yangu huyoo jamaa.sikuwahi kuipenda CCM ila nilimchulia zaidi Lowassa
Dr Slaah na mchumbake !Habar za weekend ndugu zangu katka imani.
Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti kuhusiana na Mkulu anavyotuongoza na Sera zake kwa ujumla,wengi wanadai hawakumchagua.
Sasa nawauliza tena waungwa...kama sisi/ninyi hamkumchagua je ni nani aliyemchagua?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Mkwapa sio jeykey
possibly huyo ndo mungu wa JohnMkwapa sio jeykey
Jaji Damian LubuvaHabar za weekend ndugu zangu katka imani.
Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti kuhusiana na Mkulu anavyotuongoza na Sera zake kwa ujumla,wengi wanadai hawakumchagua.
Sasa nawauliza tena waungwa...kama sisi/ninyi hamkumchagua je ni nani aliyemchagua?
Ndoto za Alinacha kuota huku unatembea.[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mimi hapa nilimpigia kura na wengine majority, nawashangaa mnashinda humu mnalialia na kupoteza muda wakati 2020 mimi na wengine wengi zaidi tutampa kura zetu na atashinda kwa kishindo kikubwa.
Wajinga mpo wengi sana hapa nchini.Niwe muwazi nilimpa kura yangu na bado sikati tamaa 2020 ntampa ingawa nasubiki ajira
Hao chadema wanapiga kelele magu kufanyia vikao ikulu
Wanamtetea wema wakati alikutwa na dude kweli
Yule jamaa kule arusha amemtukana raisi wamemtetea tena na michango juu
Kuna siku niliona wametoka nje ya bunge wamefunga vitambaa mdomoni eti kukaa kimya
Kina mdee na bulaya hawan nizam bungeni mixer kufukuzwa
Matusi ya leja leja eti kushikishwa ukuta n.k
Lowasa ndo yupo huko kwao
Ingawa ni kweli wabunge wa upinzan ni vichwa sana kama ukilinganisha na ccm kweli wakisema kitu wako vizuri kiakili ukilinganisha na hawa wetu mfano kafulila, lisu , mbowe , peter msigwa hao wako vizuri saana
Pia mm sitaki wapite kwa sabbu kama ukawa wakipita basi na kule zenji ccm itakufa na muungano utakufa hapo hapo
Kwangu mm muungano unaleta amani wale jamaa hawakawii kuingiza magaidi au kubadili nchi kuwa ya dini moja
Kuna vitu anafanya magu hadi naona laha yani ingawa nyie mnavofungwa fungwa sifulahii najua yye si malaika ni binadamu
Ccm mbele kwa mbele