Hivi nalo hili gumu

Amani Ndoroma

Member
Aug 14, 2018
71
21
Tujufunze i tu aisee
FB_IMG_15350053713235253.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa zinapokuwa nyingi kuliko utekelezaji wa sera, bajeti inapokuwa haina mgawanyo ulio sawa(kutokana na fedha kiduchu) hadi kutegemea wahisani. Na mara nyingi fedha zinachelewa kufika.

Ukiweka mawaziri wenye ubobevu katika wizara kutakuwa na mvutano wa kugombea bajeti kutokana na uelewa na sera za waziri. Hasa Hasa atataka kusimamia uweledi wake na hivyo demand ya fedha itakuwa kubwa.

Pilot observation jaribu kuangalia wizara zinazoongozwa na waziri mwenye profession ya wizara husika. Kunakuwaga na mambo mengi, mikwamo, majungu..mwisho wa Siku kunakuwa na under performance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom