Hivi NACTEVET napo ni patamu?

Hivi NACTEVET napo ni patamu?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,078
Niliomba nafasi ya admission officer kupitia utumishi,naona wametoa majina leo,nyomi kama ile ya tra.nafasi mbili tu ila zinagombaniwa na watu 7,500.
Vipi napo kuna mkwanja wa kueleweka?
 
Unataka kufanya kazi sehem zenye utamu kwanini ..
 
Niliomba nafasi ya admission officer kupitia utumishi,naona wametoa majina leo,nyomi kama ile ya tra.nafasi mbili tu ila zinagombaniwa na watu 7,500.
Vipi napo kuna mkwanja wa kueleweka?
Haihusiani na mkwanja jobless wengi na waliruhusu watu wa kada nyingi kuapply
 
Back
Top Bottom