Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,275
- 123,712
Mataifa yaliyo tuletea dini ndio yako mstari wa mbele kwenye vita ya wao kwa wao hawa jamaa wa taifa teule ni wakorof sana
Kuna mda tufike atua tujitambue kama waliotuletea dini wana misunderstanding wenyewe kwa wenyewe wakat wao walitufundisha amani na upendo na ukikikua ni dhambi halafu wao wanayafanya bila wasi wasi