Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni?
Maana kwa asilimia kubwa walikuwa wanafanya matendo ambayo dini zetu zinazuia mathalani...kutoa kafara kwa miungu, kuuana kwa kigezo cha mila na desturi nakadhalika.

Ukiangalia vigezo vingi vya mtu kuwa msafi wa kiimani mengi hawakuyafanya mababu zetu.

Kwa watu wanaojua vizuri mafundisho ya dini naombeni msaada katika hili maana mimi Nebuchadinezzer sina ujuzi katika hili.

ASANTENI.
Imani imepotoshwa sana. Yapo mengi tusiyo yafahamu kuhusu iman za kale, zaid tunayo yafahamu ni juu ya ubaya na mabaya waliyo yatenda. Je,hawana mema waliyo yatenda? Je, ni kweli wote walitenda mabaya?
 
Hapana mkuu...kuna mazuri walitenda...ila mengi ni kinyume na dini zetu.
Naomba kujua vitabu vinasemaje kuhusu hili.
 
Unauliza babu zetu ambao hawakuwa wakristo au waislam kiama watakuwa wapi.Wakristo na Waislam hata sasa hawafiki thelusi ya watu wa dunia.Wachina , wahindu, wajapani, wayahudi na wengine wasio wakristo au waislam in zaidi ya nusu ya population ya dunia na Mungu anawapenda sana ndio maana wengi in matajiri.Dini zao zilikuwepo miaka mingi sana kabla ya ukristo na uislam.Wako wanao toa hoja
 
Asante
 
Unauliza babu zetu ambao hawakuwa wakristo au waislam kiama watakuwa wapi.Wakristo na Waislam hata sasa hawafiki thelusi ya watu wa dunia.Wachina , wahindu, wajapani, wayahudi na wengine wasio wakristo au waislam in zaidi ya nusu ya population ya dunia na Mungu anawapenda sana ndio maana wengi in matajiri.Dini zao zilikuwepo miaka mingi sana kabla ya ukristo na uislam.Wako wanao toa hoja kuwa MTU atahukumiwa kwa matendo yake na si dini, kila watu walipewa dini yao kama mwongozo ili waishi vizuri na kuwafikisha kwa mola hivyo mababu zetu watahukumiwa kwa kufuata miongozo au tuite dini walizopewa wakati huo.Wanasema hakuna adhabu ya milele kwasababu hatujaishi milele, Mungu sio katili yaani kama umeishi dunani miaka 70 na ulikuwa unafanya maovu kila sekunde utaadhibiwa kwa uzito wa madhambi yako kisha unaungana na wenzako kwa mola. Hatimae wote tutakuwa peponi baada ya kutumikia adhabu zetu jehanam
 
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni?
Maana kwa asilimia kubwa walikuwa wanafanya matendo ambayo dini zetu zinazuia mathalani...kutoa kafara kwa miungu, kuuana kwa kigezo cha mila na desturi nakadhalika.

Ukiangalia vigezo vingi vya mtu kuwa msafi wa kiimani mengi hawakuyafanya mababu zetu.

Kwa watu wanaojua vizuri mafundisho ya dini naombeni msaada katika hili maana mimi Nebuchadinezzer sina ujuzi katika hili.

ASANTENI.
Katika makundi ambayo najua Wazi wao kuingia Mbinguni/Peponi kwao ni ndoto ni,
1) Chama Chakavu,
2) Traffic Polisi
 
Yohana 5:28 Msishangazwe na jambo hili, kwa maana saa inakuja ambayo wote walio katika makaburi ya ukumbusho wataisikia sauti yake.29 na kutoka, wale waliotenda mema kwenye ufufuo wa uzima, na wale waliozoea kutenda maovu kwenye ufufuo wa hukumu.

hilo kundi la pili ndio hao, watafundishi kisha watuhukumiwa baada ya kujua pia
 
Mmmh kwa hiyo baada ya adhabu waovu wanaenda mbinguni tena?
 
Dini kama dini hazikuwepo isipokuwa mitume na manabii walikuwepo na ndio waliokuwa wanaongea na Mungu moja kwa moja na ndio waliokuwa wanapewa maagizo na Mungu nini cha kuwambia wanadamu,wakiwasikiliza manabii na kufuata maekelezo waliopewa na Mungu ndipo wanapopata kibali cha kwenda mbinguni.

Nabii Musa alipewa amri kumi na Mungu awapelekee wana wa Israel walio mtii Musa na kuzipokea amri za Mungu ndiowaliosalimika waliomkataa Musa na kuzikataa amri zake waliangamia,kwa ufupi ni kwamba Mungu alikuwa anawateua watu maalumu ambao ni mitume na mabii na kuwapa maagizo ya kuwapelekea watu wake pasipo kutegemea dini yoyote kwa sababu dini hazikuwepo wakati ule na waliowakubali manabii moja kwa moja walikuwa wamemkubali Mungu na mahali pao ni mbinguni, hivyohivyo na kwa wale waliowakataa manabii moja kwa moja walikuwa wamemkataa Mungu na Mahali pao ni jehanamu ya shetani.
 
Asante mkuu kwa rejea uliyotoa.
Yohana 5:28 Msishangazwe na jambo hili, kwa maana saa inakuja ambayo wote walio katika makaburi ya ukumbusho wataisikia sauti yake.29 na kutoka, wale waliotenda mema kwenye ufufuo wa uzima, na wale waliozoea kutenda maovu kwenye ufufuo wa hukumu.

hilo kundi la pili ndio hao, watafundishi kisha watuhukumiwa baada ya kujua pia
 
Hapana mkuu...kuna mazuri walitenda...ila mengi ni kinyume na dini zetu.
Naomba kujua vitabu vinasemaje kuhusu hili.
Mkuu, kupata usahihi wa jambo hutokana na jinsi gani jambo husika jamii hiyo hulichukulia. Tukirudi ktk mada, wazee wa zamani walikuwa wanafanya toba na maombi km jinsi walivyokuwa wakifanya jamii zilizo tuletea vitabu vya dini kabla ya kristo kuzaliwa, na utaratibu huo waliukuta wakati wanaleta hizi dini ambazo leo hii ndio msingi wa imani zetu.

Hivyo, kusema kuwa wataingia mbinguni ama hawatoingia Mungu pekee ndio anajua
 
Dini kama dini hazikuwepo isipokuwa mitume na manabii walikuwepo na ndio waliokuwa wanaongea na Mungu moja kwa moja na ndio waliokuwa wanapewa maagizo na Mungu nini cha kuwambia wanadamu,wakiwasikiliza manabii na kufuata maekelezo waliopewa na Mungu ndipo wanapopata kibali cha kwenda mbinguni.

Nabii Musa alipewa amri kumi na Mungu awapelekee wana wa Israel walio mtii Musa na kuzipokea amri za Mungu ndiowaliosalimika waliomkataa Musa na kuzikataa amri zake waliangamia,kwa ufupi ni kwamba Mungu alikuwa anawateua watu maalumu ambao ni mitume na mabii na kuwapa ambao aliwapa maagizo ya kuwapelekea watu wake pasipo kutegemea dini yoyote kwa sababu dini hazikuwepo wakati ule na waliowakubali manabii moja kwa moja walikuwa wamemkubali Mungu na mahali pao ni mbinguni, hivyohivyo na kwa wale waliowakataa manabii moja kwa moja walikuwa wamemkataa Mungu na Mahali pao ni jehanamu ya shetani.
Asante mkuu kwa maelezo mazuri...labda niongeze swali je siku hizi manabii wapo?
 
Asante mkuu
Mkuu, kupata usahihi wa jambo hutokana na jinsi gani jambo husika jamii hiyo hulichukulia. Tukirudi ktk mada, wazee wa zamani walikuwa wanafanya toba na maombi km jinsi walivyokuwa wakifanya jamii zilizo tuletea vitabu vya dini kabla ya kristo kuzaliwa, na utaratibu huo waliukuta wakati wanaleta hizi dini ambazo leo hii ndio msingi wa imani zetu.

Hivyo, kusema kuwa wataingia mbinguni ama hawatoingia Mungu pekee ndio anajua
 
Ujio wa Yesu na kazi Ya msalaba inajibu swali hilo kwamba na wao wanafika mbinguni kwani roho ya yesu ilishuka kuzimu na huko ilifanya kazi tatu,mosi kuwahubilia walioko kule yaani waliokufa toka wa kwanza mpaka yule aliyekufa pamoja naye,pili kunyang'a mamlaka ya shetani ambaye alimiliki roho hizo na tatu ni kuuwa kifo kwa kuwaunganisha na mbingu kwa wao kwenda na yesu Mbinguni
 
Asante mkuu kwa jibu...
Napenda unipe na mistari ya rejea ili na mimi nisome hii habari.
 
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni?
Kama kuna mtu alikuambia eti baada ya haya maisha ya hapa duniani utaenda Mbinguni, basi kuanzia leo fahamu kwamba umedanganywa sana, tena sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom