Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,549
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni?
Maana kwa asilimia kubwa walikuwa wanafanya matendo ambayo dini zetu zinazuia mathalani...kutoa kafara kwa miungu, kuuana kwa kigezo cha mila na desturi nakadhalika.

Ukiangalia vigezo vingi vya mtu kuwa msafi wa kiimani mengi hawakuyafanya mababu zetu.

Kwa watu wanaojua vizuri mafundisho ya dini naombeni msaada katika hili maana mimi Nebuchadinezzer sina ujuzi katika hili.

ASANTENI.
 
Kwa hiyo yanayo endelea hapo mashariki ya kati wataenda minguni?

Kizazi cha mababu zetu kulikuwa hamna mambo ya hovyo kama ilivyo sasa, mila na desturi ndiyo dini zetu, hizo nyingine zilikuja na jahazi
 
aiseee me cjakuelewa
Mkuu nataka kujua vigezo ambavyo vitatumika siku ya kiama kwa mababu zetu ambao walikuwepo kabla kuja kwa hizi dini tulizonazo kwa sasa maana asilimia kubwa mababu zetu walifanya vitu ambavyo ni haramu kwa dini zetu.
 
Mkuu mambo ya hukumu muachie Mungu, sisi huku duniani tuendelee na harakati zetu za kila siku, utawapotezea watu muda kujadili mambo ambayo hakuna mwenye jibu lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom