Hivi mwanaume unakosaje gari jamani?

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
598
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!

Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama




Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu




Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...

Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni



Na



Mapenzi hata mbwa anajua

Dr. H. Rweyemamu
 
Iv kweli ndo umeamkaa nawazo hili???,
, . .
 
Reactions: PNC
Hivi kumbe hata kile cha Mr Bean
nayo ni gari.?
 
Why umesema mwanaume...hivi kwenye kazi uwa kuna kiwango tofauti cha Salary ktk Genda?...mimi nahc kila.mtu uwa ana Hapness yake..so ukiweza fulful hapness yako wewe upo poa kabisa. Kuna mtu hapness yake ni kuwa Dr. Tu..mengine ayo hata hayapo kwa kichwa chake..ila kwa Sasa Gari, Good Appartment and Simu ndo Basic needs.
 
Hawa viumbe(ke) tunatakiwa tuishi nao kibabe tu sababu hawajui ni nini wanahitaj katika maisha yao.
Ukijenga nyumba yeye atasema anapenda bajaji ukinunua bajaji atasema umfngulie supermarket.

Dawa yao ubabe tu[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…