Hivi mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke?

Hivi mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke?

Mbona wengine wanaliaga hata wakati wa kutongoza, yaani ukimkataa tu mtongozo wake machozi hayo, daaah wanaume.....
 
Ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo. Wakati mwingine machozi huwa si kwa sababu ya kulilia penzi, tunalia kwa sababu ya gharama tulizoingia juu yao. Unadate na mwanamke unampangia nyumba nzima unamuwekea kila kitu ndani halafu anakupiga chini hivi kweli wewe utaacha kulia? Unaweza kujikaza kwa kuacha kulia tusiyaone machozi yako, lakini wewe mwenyewe moyoni ukabaki na kilio kikubwa. Haya mapenzi hayana mbabe, usiwacheke wanaolia maana ipo siku yako yaja!
shida watu wana invest kwenye mapenzi wakitegemea return lakin kwenye mapenz kuna kutoa tu,ukishalijua hilo ukiachwa usilie songa mbele
 
unalia ukiwa umejificha kimya kimya.....kulia huondoa machungu....kuna vitu unapunguza.....unatafuta unafuu....kulia ipo
 
Ni udhaifu wa hali ya juu sana.nashukuru mungu hakunijalia attachement na women.i just manage them only, wakizingua they get fired or they fire themselves.
 
SIKU ZOTE KULIA SI UDHAIFU... NI UIMARA SAANA... KU CONTROL HISIA MBAYA AMBAZO VINGINEVYO ZINGELETA MADHARA MAKUBWA.
 
Mimi silii ng'oo. Kwanza nilaana kulilia mwanaume kisa mapenzi huyo ni zuzu
 
Mimi silii ng'oo. Kwanza nilaana kulilia mwanaume kisa mapenzi huyo ni zuzu
Sio uzuzu hata kidogo.


Kwani mapenzi nini???


Si ni ugonjwa.


Na hakuna mtu aweza kusema kamwe hawezi kupatwa ugonjwa huo.

Mimi mwenyewe nilikuwa nikikataa, ila IKINITOKEA SIKU MOJA.


NA KULIA MARA NYINGI NI KUPUNGUZA STRESSES.
 
ASA kama papuchi tamu kwanini asililie..!? AF unakuta mwanamke mwembamba mtamu kuliko wani ya point tatu...wweee lazma ulie..
 
NA NADHANI WENGI WENYE KUJIUA KUTOKANA NA MAPENZI HUWA NI WENYE KUKATAA HISIA ZAO.

WATU WENGI WENYE KUKATAA HISIA HUPATA MADHARA MAKUBWA SAANA.

HUDHANI KUMWELEZA MTU ILI APATE USHAURI, AU KUWA MKWELI WA NAFSI, NA KUSEMA YA ROHONI, AU HATA KULIA HATIMAYE NI UDHAIFU.


LA HASHA NI UJASARI

NI KUKUBALI KUWA UNA TATIZO.

MARA NYINGI WAPATAI SHIDA NI WALE WAKATALIAO NAFSI ZAO UKWELI.

HATIMAYE KWA FUNDO LA MOYO HUJIUA.
 
Binadamu tunatofautiana, mapenzi yanauma jamani...Kila mtu anauguliaga kivyake,wasioweza kuficha ndo utawakuta wanamwaga machozi hadharani. Tuache unafki, maumivu ya mapenzi hayana baunsa. Tunatofautiana tu jinsi ya kumudu maumivu..

-wakora-
 
Back
Top Bottom