Hivi mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke?

Hivi mwanaume unaanzaje kumlilia mwanamke?

Nimekuta lidume lina mlilia mwanamke, tena ni hawala tu. Nimetafakari sana, Dume zima linatoka machozi na makamasi kedekede kisha kuambiwa "its over" du!
Hata huyo mwanamke atakudharau sana tu.

Kuna kitu kimepungua kwa wanaume siku hizi sio bure!
Ahahaha
 
KUMBE HUMU KUNA WATOTO KAMA WA FACEBOOK DAAAH SIKUTARAJIA UZI KAMA HUU.WE HUYAJUI MAPENZI ETI???? YATAKUKUTA TU SI BADO UNAKUA,HUYO ANAELIA SIYO MJINGA YUPO TIMAMU SANA NA ANAJIELEWA KABISA ILA NI MAPENZI TU WE YASIKIE KWA MWENZIO NA INAONEKANA HAYAJAWAHI KUKUKUTA NDUGU
 
Kifupi kinacholiza huwa ni kumbukumbu ya yale mema uliyomfanyia.pia hasira na mengine mengi wala sio uzezeta
 
Sijisifii ila wakati wa uschana wangu,wanaume wawili kwa nyakati tofauti walishatoa machozi mbele yangu....mie nikisema tuachane wao wanataka tuendelee.

Enzi za Kasie Msomali....

Kweli wakati ukuta.

Kasie Mahaba Matata.
Tupe siri ya mtungi
 
Nimekuta lidume lina mlilia mwanamke, tena ni hawala tu. Nimetafakari sana, Dume zima linatoka machozi na makamasi kedekede kisha kuambiwa "its over" du!
Hata huyo mwanamke atakudharau sana tu.

Kuna kitu kimepungua kwa wanaume siku hizi sio bure!
Hebu fikria wewe huna taha kibanda cha matope, lakini mwanamke umemjengea nyumba nzuri; huna hata Vitz, mawanamke umenunulia RA4, watoto wako wanasoma shule ya Msingi kwa Mtogole, watoto wa Mwanamke hakuna hata damu yako wanasoma shule yenye jina linaloanza na St. halafu ghafla unaambiawa it's over. Kwa nini usinili ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa Sonona.
 
Nimekuta lidume lina mlilia mwanamke, tena ni hawala tu. Nimetafakari sana, Dume zima linatoka machozi na makamasi kedekede kisha kuambiwa "its over" du!
Hata huyo mwanamke atakudharau sana tu.

Kuna kitu kimepungua kwa wanaume siku hizi sio bure!
Nimecheka sana.......Hahahahahahahaa....... Umenikumbusha jamaa mmoja alivyokuwa analia lia kipindi hicho.
 
Sijisifii ila wakati wa uschana wangu,wanaume wawili kwa nyakati tofauti walishatoa machozi mbele yangu....mie nikisema tuachane wao wanataka tuendelee.

Enzi za Kasie Msomali....

Kweli wakati ukuta.

Kasie Mahaba Matata.
Hope una bint mzuri sana
 
Kulia inategemeana na ulimpendaje bibie. Kama ulikuwa deeply in love na yeye akajua..
Basi siku anakutema lazima ulie maana umemfanyia mengi, moyo wako uko kwake.. ukiwaza gharama ulizotoa kwa ajili yake lazima chozi litoke.

So kinachofuata ni kuwa mazoea ndio yanamliza mtu. Ukikumbuka sehem mlizoenda, utam wa kitandani.. ile attachment ua vinauma...

Japo si kwa wote ila hii kitu inaumizaga.
 
Write your reply...KUUMIZWA HUWA N MARA MOJA TU UKIKUBALI KUUMIZWA ZAID YA MARA MOJA HUO N UAMUZI WAKO LA SIVYO UTAKUA UNA KASORO ZAKO BINAFSI
 
Inaweza kuwa analia kwa furaha, kwa kuondokewa na huyo mwanamke.

Sio kila anaetoa chozi ana majonzi
 
Back
Top Bottom