Hivi mwanamke unavyomwambia hivi Mwanaume"__" kweli inawezekana?

Umeshakwenda na maji wewe. Hauponi.
Sali sana.
 
Exactly. And I'm not sure kama ana mwanamke. From what I know, wanawake huwa wanachuki wanaume wenye tabia za kike.
Jamaa una hate bila fact, elewa Kwanza scenario ndo ukomenti. Insu iko hivi unawezaje kuwa serious muda wote kwa mtu mnaefanyanae kazi ofisi moja, jinsia tofauti. Jamii itakuchukuliaje hata Kama utasema hutembei nae!
 
Honestly this is Nonsense we jamaa unafeli sana at your age sio wa kuandika izo blah blah apo..

Dada ni mzuri sana

Utani wa Kushikana nywele

Ghetto anaishi mwenyewe

Yupo Single

Kasema akitaka kulala na wewe anaweza (kama nakuona ulivyo nua kumfanya)


Unakuja kuuliza inawezekanaje yeye kuamua mfanyane

Haha be serious acha ufala utavunja ndoa yako na inaonekana ni bado changa


Ata ivyo siamini kama hajamlala uyo dada unatuzoom tu apa
 
Kwa nini mkeo akusakame kwa huyo mdada? Wanawake ni wajanja sana kwenye hizo anga.
Kwa jinsi ulivyoandika, wewe ndio mzizi wa tatizo
 
Japo umeomba wadada wakuashauri mm kama mwanaume nakushauri kuwa huyo ushazini nae akilini kwako bado kivitendo tu.

Ss chagua moja zini nae ukolee uvunje ndoa,

au endelea kumuendekeza uvunje ndoa bila kufanya naye lolote,

au zini nae halafu ukate mazoea,

au kata mazoea bila kuzini nae.

Kumbuka ukizini nae halafu ukakata nae mazoea haitamsumbua mkeo kama huu mchezo unaocheza sasa kwa kisingizio cha ofisi moja.

Mwisho kabisa usiwe na akili za inzi kucheza na kinyesi ukaleta kuhara kwe ndoa yako.
 
Makosa unayoyafanya hapo ni hayo mazoea na mfanyakazi mwenzio kuwa makini sana na vitu unavyomfanyia au kumuonesha au kumwambia kwa sababu sisi wanaume tuko tofauti kidogo na wananake

Mwanaume unaweza ukamwambia mwanamke kitu chochote lakini katika ubongo wako ukalitafsiri hilo neno katika ubongo wa maana changamoto inakuja kwa wanawake wenyewe hawasikiagi maneno ila wanatafsiri maneno katika ubongo wa hisia hivyo unaweza mwambia mfanyakazi mwenzio kwamba " wewe ni mrembo haki sijawahi ona mrembo kama wewe" lakini ww ukalichukulia kama utani ila yeye ataanza kulidadavua na kufarijika kwamba aah kumbe mimi yaweza kuwa ni mrembo kumzidi mke wake...

Sasa endapo mke wako akagundua vitu kama hivo na yeye hawezi tafsiri hyo scinario katika ubongo wa maana lazima ataitafsiri kihisia zaidi na ndio maana anakosa raha kwa sababu anaamini wewe na huyo mfanyakazi mwenzio mnatoka kimapenzi

Chamsingi unapaswa kuwa na mipaka mkuu "KEEP THE LIMITS" hakikisha kuna mipaka na husiwahi mwambia mwanamke ambaye sio mke au mpenzi wako maneno ambayo unajua kabisa anafaa kuambiwa mpenzi au mke wako tu, wanawake wanahitaji jambo dogo sana yaani kuona hisia zao zinazingatiwa kwa kupewa kipaumbele, kuheshimiwa na kusikilizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point Sana nitajitaidi nifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…