haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,864
Hakuna mwanamke rijali, rijari nineno la kiarabu liwa na maana mwanaume, na mwanamke ni nisaa, holy Quran 4Wanabodi naomba mnieleweshe mwanamke akisema yeye ni mwanamke rijali anakuwa anamaanisha nini?
"Arrijalu kauwamuna ala nnisaa" =wanaume mume ni viongozi wa wanawake/mke
Mara nyingi rijali hutumika kwa manaume ambae tunasema jogoo anapanda mtungi , kifupi mwanaume mashine,