Umeshapewa jibu unataka nini zaidi?
Ongeza nguvu za kumfuatilia huyo binti huenda anakupenda, hawa watu wakati mwingine hawaeleweki hawa. Mimi mke wangu mwaka 2004 aliniambia nimkome kama nilivyokoma ziwa la mama yangu niache kumfuatilia, lakini sikukata tamaa, mwaka 2007 tulifunga ndoa iliyofana sana, na sasa tuna watoto watatu tunaishi maisha ya amani sana.kuna mtoto nimetokea kumpenda na niko tayari kumuoa ila nilivomfungukia tuu ameniambia ana mpenz na akaniambia kipindi iki niwe mwangalifu kwasababu mpenz wake amerudi, wazoefu naombeni ushauri niendelee au kweli anamaanisha
Hahahahahaha... hawa viumbe hawa... hatareeeeOngeza nguvu za kumfuatilia huyo binti huenda anakupenda, hawa watu wakati mwingine hawaeleweki hawa. Mimi mke wangu mwaka 2004 aliniambia nimkome kama nilivyokoma ziwa la mama yangu niache kumfuatilia, lakini sikukata tamaa, mwaka 2007 tulifunga ndoa iliyofana sana, na sasa tuna watoto watatu tunaishi maisha ya amani sana.
jaman ww,Umeshapewa jibu unataka nini zaidi?
Hajaweka madau ya maaana huyohakutaki
bado labda baadaeHajaweka madau ya maaana huyo