Hivi mwanamke akikuambia ana mpenzi anamaanisha kweli?

daaa

Member
May 5, 2017
18
10
Kuna mtoto nimetokea kumpenda na niko tayari kumuoa ila nilivomfungukia tuu ameniambia ana mpenzi na akaniambia kipindi hiki niwe mwangalifu kwasababu mpenzi wake amerudi.

Wazoefu naombeni ushauri niendelee au kweli anamaanisha
 
Soo unataka jam na mminyano au sio.!! Pole sana
______________________________
Belle9- "AMERUDI"
 
kuna mtoto nimetokea kumpenda na niko tayari kumuoa ila nilivomfungukia tuu ameniambia ana mpenz na akaniambia kipindi iki niwe mwangalifu kwasababu mpenz wake amerudi, wazoefu naombeni ushauri niendelee au kweli anamaanisha
Ongeza nguvu za kumfuatilia huyo binti huenda anakupenda, hawa watu wakati mwingine hawaeleweki hawa. Mimi mke wangu mwaka 2004 aliniambia nimkome kama nilivyokoma ziwa la mama yangu niache kumfuatilia, lakini sikukata tamaa, mwaka 2007 tulifunga ndoa iliyofana sana, na sasa tuna watoto watatu tunaishi maisha ya amani sana.
 
Hahahahahaha... hawa viumbe hawa... hatareeee
 
Kaaa kimyaa kwa mwezi halafu mfuatilie tenaa
" class="bbImage lazyload" data-zoom-target="1" style="" alt="" title="" width="" height="" />
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom