Ila mademu naona wanapata sana vitengo au wanavuliwa chupi kwanza mkuu?Ongeza elimu..co sasahivi hamna utofauti na ualimu mko wengi sana.
#MaendeleoHayanaChama
Huwezi shindana na mtoto wakike kwenye fursa..kumbuka demu mwenye ta..ko anajiamini kuliko mwenye digrii.Ila mademu naona wanapata sana vitengo au wanavuliwa chupi kwanza mkuu?
Kwani wewe huna chupi? ivue uone kama kazi itapatikana! halafu tufahamishe.Ila mademu naona wanapata sana vitengo au wanavuliwa chupi kwanza mkuu?
Pole Dogo. Jipe moyo usikate tamaa.Hizi ajira za afya zitakuwepo mwakani kweli kwa wale wajuzi wa mambo maana daah miaka 5 clinical officer naishia kujitolea tu
Na sisi biomedical technician ndo tumesahaurika dahHizi ajira za afya zitakuwepo mwakani kweli kwa wale wajuzi wa mambo maana daah miaka 5 clinical officer naishia kujitolea tu
Poleeeeeeeeee😞😞😞Hizi ajira za afya zitakuwepo mwakani kweli kwa wale wajuzi wa mambo maana daah miaka 5 clinical officer naishia kujitolea tu