Hivi mtu mweusi sio early version ya binadamu?

Hivi mtu mweusi sio early version ya binadamu?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,149
Reaction score
162,560
Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu kulinganisha na watu wa mabara mengine, kumetokea hivi hivi tu pasipo kuwa na sababu?

Je, si kweli sisi watu weusi our main problem has got something to do with nature that is responsible for our existence?

Kwanini hata rangi yetu ya ngozi sisi wenyewe tunaiona haitufai kiasi kwamba hata wanaweke wanajichubua?

Je, si ni sisi wenyewe hukashifiana kwa kuita watu wengine weusi kama mkaa au utasikia jamaa "mweusi tiii"!!

Na je, hata nywele zetu kwa muonekano ni kama za watu wa mabara mengine?

Je, si kweli kuna baadhi yetu wanapenda nywele za kizungu kuliko za kwetu?

Alafu umewahi kujiuliza ni kwanini haijatokea sisi watu weusi tukaenda kutawala watu wa mabara mengine mfano Ulaya, n.k?

Jiulize ni kwanini leo hii tunaanza kuona dalili za kuwatawaliwa na wachina?

Na je, umejiuliza ni kwanini karibu kila kitu kinaanza ulaya na si kianzie Afrika kisha kiende katika mabara mengine?

Kwa mifano hii michache miongoni mwa mingi iliyopo, haoni kuwa huenda sababu kuu ni kuwa sisi watu weusi huenda tulikuwa binadamu wa kwanza kutengenezwa ila baadae tukaonekana tuna mapungufu na hivyo utengenezaji wa binadamu ukaendelea kuboreshwa kuanzia rangi, uwezo wa kufikiri,maarifa, nywele, n.k?

Je, mpaka hapa huoni logic au uhusiano wa mtu wa kale zaidi duniani(early version of human being kwa mtazamo wangu ) kupatikana katika bonde la Olduvai Gorge (Africa) katika hili eneo la maziwa makuu likiwa ni eneo ambalo liko nyuma kuliko regions zote katika huu ulimwengu?

Wadau, japo maneno haya yanaweza yasiwapendeze baadhi ya watu, lakini je,unaona hakuna la kujiuliza mpaka hapa?

Je, hali hii, ni hivi hivi tu?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah aaaaah aaaa
Ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaah aaaaah ha ha ha ha haaaa ...!!

Nimenicheka kwa sautiii ...
 
Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu kulinganisha na watu wa mabara mengine kumetokea hivi hivi tu pasipo kuwa na sababu?

Je, si kweli sisi watu weusi our main problem has got something to do with nature that is responsible for our existence?

Kwanini hata rangi yetu ya ngozi sisi wenyewe tunaiona haitufai kiasi kwamba hata wanaweke wanajichubua?

Je, si ni sisi wenyewe hukashifiana kwa kuita watu wengine weusi kama mkaa au utasikia jamaa "mweusi tiii"

Na je, hata nywele zetu kwa muonekano ni kama za watu wa mabara mengine?

Je, si kweli kuna baadhi yetu wanapenda nywele za kizungu kuliko za kwetu?

Alafu umewahi kujiuliza ni kwanini haijatokea sisi watu weusi tukaenda kutawala watu wa mabara mengine mfano Ulaya, n.k?

Jiulize ni kwanini leo hii tunaanza kuona dalili za kuwatawaliwa na wachina?

Na je, umejiuliza ni kwanini karibu kila kitu kinaanza ulaya na si kianzie Afrika kisha kiende katika mabara mengine?

Kwa mifano hii michache miongoni mwa mingi iliyopo, haoni kuwa huenda sababu kuu ni kuwa sisi watu weusi huenda tulikuwa binadamu wa kwanza kutengenezwa ila baadae tukaonekana tuna mapungufu na hivyo utengenezaji wa binadamu ukaendelea kuboreshwa kuanzia rangi, uwezo wa kufikiri,maarifa nywele, n.k?

Je, mpaka hapa huoni logic ya mtu wa kale zaidi duniani kupatikana katika bonde la Olduvai Gorge(kama sikosei) ambalo liko Africa tena katika hili eneo la maziwa makuu na ndio eneo ambalo liko nyuma kuliko regions zote katika huu ulimwengu?

Wadau, japo maneno haya yanaweza yasiwapendeze watu, lakini je,unaona hakuna la kujiuliza mpaka hapa?

Je, hali hii ni hivi hivi tu?
Inawezekana kuna ukweli fulani maana matendo ya hasa viongozi wengi wa Africa kwa mataifa yao utadhani wanatumia matumbo kufikiria !
 
Wengi wa weusi wenye high IQ waliuzwa utumwani waliobakia afrika ni wanyonge na IQ ndogo
Huu ni uongo ! Utumwa ulizoaje IQ wote ? Wakati utumwa ulitaka zaidi physical manpower ! Wenye IQ waliwezaje kukamatwa na mwarabu au mzungu mwenye gobole moja au hata kumi na wao wakiwa maelfu washindwe kumdhibiti ?

Tukubali kiujumla watu weusi tunamapungufu kiuumbwaji ! We lijitu tena kiongozi linaiba mali na fedha za nduguze Africa linaenda ficha ulaya na America jitu la calibre hii kweli ni kamili kiuumbwaji? Sidhani !
 
Kama magari yalivyo na matoleo ndio ilivyo kwa binadamu.kitoka landcruiser kiboko ya sokoine mpaka landcruiser vx v8 ndio ilivyo kutoka nyani kuja mtu mweusi lastly meeupe.
 
Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu
maxresdefault.jpg

Unaweza ukawa unasema kweli tuko nyuma kwenye kila kitu ila sio mbaya.
maxresdefault.jpg

Tukae tu nyuma.
 
Huu ni uongo ! Utumwa ulizoaje IQ wote ? Wakati utumwa ulitaka zaidi physical manpower ! Wenye IQ waliwezaje kukamatwa na mwarabu au mzungu mwenye gobole moja au hata kumi na wao wakiwa maelfu washindwe kumdhibiti ?

Tukubali kiujumla watu weusi tunamapungufu kiuumbwaji ! We lijitu tena kiongozi linaiba mali na fedha za nduguze Africa linaenda ficha ulaya na America jitu la calibre hii kweli ni kamili kiuumbwaji? Sidhani !
Mfano mwingine ni hili la kuagiza chuma toka ulaya ili kujenga reli ili hali tuna chuma yetu wenyewe.

Je, huu si uduni mwingine wa mtu mweusi dhidi ya mtu mweupe ambao msingi wake ni nature ilivyotuumba?
 
Sisi sio binadamu halisi,ni mfano wa binadamu ndo maana tukawekwa kwenye bara jeusi lenye kila kitu na lenye changamoto kidogo za kijiografia ili tujirahisishie maisha ila bado tumeshindwa.Kwaiyo utaona tuliumbwa tuwe wafanyakazi ndo sababu tunatumia nguvu nyingi akili kidogo iyo inafanya binadamu halisi wanatutumia kama nguvu kazi.Kwaiyo naweza kukubaliana na wewe kua iko shida mahali flani kiuumbaji.
 
Hivi sisi kuwa nyuma karibu kwa kila kitu kulinganisha na watu wa mabara mengine kumetokea hivi hivi tu pasipo kuwa na sababu?
Ziko hadithi za mapokeo kuhusu early civilization, kuwa asili ya mtu mweusi ni mmoja kati ya wana watatu wa Nuhu baada ya gharika, yaani Ham, Shem na Japhet, mmoja alikuwa mweusi, baba yao alipozeeka, kuna siku alikaa vibaya, mtoto mmoja akamchungulia tuu, bila kufanya chochote, mtoto mwingine, akamwita mwenzake ili washauriane cha kufanya, yule wa tatu kuona tuu hali ile, kwanza alikwenda kumsitiri, hiyo mmoja akabarikiwa sana, ndio wazungu, wa pili akabarikiwa kidogo, ndio Asians, na watatu alilaaniwa, ndio Africans!.

Kiukweli kabisa, civilization ilianzia Africa, Egypt, hata Yesu alikulia Misri. Ukisoma historia ya zama za kale za mawe, zama za kati, zama za chuma, utakutana na dola la Axum, wakati huo ulaya ni pori tupu.

Hata sasa, barani Afrika, nchi ya kwanza kwa utajiri wa dhahabu ni Ghana, lakini leo nenda Ghana kaangalie maisha yao!.

Hapa Tanzania eneo tajiri kabisa kuliko eneo lolote jingine ni Usukumani, ndiko kwenye dhahabu yote na almasi yote, lakini leo nenda Kahama ukashuhudie maisha ya masikini Wasukuma wa pale ulinganishe na utajiri wao!. Nenda Mwadui ambako Wasukuma almasi walikuwa wanazichezea bao!.

Kiukweli kabisa ni kama tumelaaniwa vile!.
P
 
Sisi sio binadamu halisi,ni mfano wa binadamu ndo maana tukawekwa kwenye bara jeusi lenye kila kitu na lenye changamoto kidogo za kijiografia ili tujirahisishie maisha ila bado tumeshindwa.Kwaiyo utaona tuliumbwa tuwe wafanyakazi ndo sababu tunatumia nguvu nyingi akili kidogo iyo inafanya binadamu halisi wanatutumia kama nguvu kazi.Kwaiyo naweza kukubaliana na wewe kua iko shida mahali flani kiuumbaji.
Hilo la kijiografia hata mimi nimewahi kuliwaza na inawezekana "Nature" ilitambua hili mapema na kuona bara hili lisilo na changamoto nyingi za kijiogafia na kimazingira lingeendana na uwezo wa mtu mweusi na ndio sababu tukawa positioned hapa Africa.
 
Back
Top Bottom