hivi mtu kama kafunga pm yake unafanyaje

hahahaha ngoja plan b nishaipata jifanye mjanja tu

Kuna mtu alinizingua nikatupa jongoo na mti wake, nilisahau kama kuna watu muhimu kama wewe, nimefungua kwa ajili yako. Wahisha hiyo PM ili nifunge tena!
 
Kuna mtu alinizingua nikatupa jongoo na mti wake, nilisahau kama kuna watu muhimu kama wewe, nimefungua kwa ajili yako. Wahisha hiyo PM ili nifunge tena!

hahahaha sio wewe bhana mzima lakini kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…